Kweli mkuu , huyu jamaa ni mnafiki tu , vitu vingi ambavyo sio sawa vinatokea bongo lakini yy ni kimyaManake hadi ahamie habari za Zambia ina maana hapa kwetu kuko 'shwaari kabisa'
ndo linalo nishangaza
Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...
Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?
Why now yuko kiimya na Magufuli?
Hao walikuwa na ajenda ya siri, mungu hamfichi mnafikiKibamba, kijo bisimba na mama nkya na wengineo pole sana Jk hakika ulihimili mambo mengi
Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...
Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?
Why now yuko kiimya na Magufuli?
Deus Kibamba ni Mhadhiri masuala ya kidiplomasi katika chuo cha Diplomasia Kurasini
Ni mchambuzi wa masuala ya kisheria na alishiriki katika katiba pendekezwa
Anapenda kuangalia taarifa za habari 24/7
Kanisa linaingiaje hapo wewe pimbi muuza kahawa?Hu
Huyo ni wakala wa kanisa, alitumwa kumchosha JK, muhula ulipoisha na yeye kazi yake imeisha
Hivi huyu mama yupo wapi siku hizi...????Hadi Aninelea Nkya yuko kiimya...
Mmmh...tutegemee sasa mama kupewa shavu.Toka Pengo aseme Utawala huu unafaa hao kina Nkya na Kibamba wamefunga mdomo
kwani akiwa kimya na MAGUFULI ni tatizo? wewe ulitaka afanye nini kuhusu Rais wetu?????Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...
Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?
Why now yuko kiimya na Magufuli?