Deus Kibamba ni nani?

Deus Kibamba ni nani?

Haina wakala sbb msikiti unaamini tz ni ya wote, lakini upande mwingine unaamini tz ni ya kwao naona tabia hiyo walirithishwa kutoka kwa mkoloni mwingereza
Aliye tangulia katangulia tu mkuu ni sawa na jeshini kuruta lazima apige saluti kwa mkubwa wake
 
Huyo na Pascal Mayalla hawana tofauti
Ni heshima kubwa kwangu kuniweka kundi moja na Deus Kibamba. Huyu ni mwanaharakati shupavu wa Jukwaa la Katiba. Mimi sii mwanaharakati bali ni mwandishi huru wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea nikijikita katika habari za kimaendeleo.

Paskali
 
Harakati zake zimefia wapi?
jukwaa la katiba bado lipo?
 
Ni heshima kubwa kwangu kuniweka kundi moja na Deus Kibamba. Huyu ni mwanaharakati shupavu wa Jukwaa la Katiba. Mimi sii mwanaharakati bali ni mwandishi huru wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea nikijikita katika habari za kimaendeleo.

Paskali
Wapi wewe nenda nane nane ukaulize maswali ya kindezi! Wewe ni mchumia tumbo namba moja hapa Tanzania na ni kanjanja mbaya hata elimu yako inaonyesha inamushkeli, eti habari za maendeleo nyoooo maendeleo yapi mkuu? Unajua usifikiri kila mtu ana akili za kuvukia barabara mkuu!
 
Toka Magufuli ashinde amekuwa kimya saana
lazima umsahau......'mission accomplished'

Labda neno 'interesting' limekuchanganya
nikisema interesting sio lazima nikubaliane ni kweli
interesting inaweza pia kumaanisha 'this is new to me'
Hapa chini umesema "this is new to me" hapo juu umesema "mission accomplished"

Sasa sijui ni mission ipi hiyo ambayo iko accomplished kwa kitu ambacho hukijui
 
Huyu jamaa nikiwa form 1 milambo secondary alikuja kusomea hkf kama sio klf form 5 akitokea malangali, jamaa alikuwa ni french speaker mzuri sana, na alikuwa muongeaji na msumbufu kwa walimu ile mbaya ni kaka aliyekuwa anajiamini na haogopi, alitutetea sana sie madogo kipindi kile,
 
Hapa chini umesema "this is new to me" hapo juu umesema "mission accomplished"

Sasa sijui ni mission ipi hiyo ambayo iko accomplished kwa kitu ambacho hukijui

New to me kama alitumwa na kanisa..sijui

Mission accomplished ya Magufuli kushinda maybe....nina assume tu...
kinachomfanya awe kimya baada ya Magufuli kushinda
 
Oh kumbe ,sawa sawa
 
Wapi wewe nenda nane nane ukaulize maswali ya kindezi! Wewe ni mchumia tumbo namba moja hapa Tanzania na ni kanjanja mbaya hata elimu yako inaonyesha inamushkeli, eti habari za maendeleo nyoooo maendeleo yapi mkuu? Unajua usifikiri kila mtu ana akili za kuvukia barabara mkuu!
Jambo moja ambalo naona watanzania wengi hatujui kuhusu hawa watu wa aina ni hili: mishipa ya aibu ilishakufa zamani kabisa. Kwa kifupi ukisema unaandika au kuwasema ili uwaumbue unajisumbua bure. Wako tayari kuachama mbele ya kadamnasi bila nguo na wasione taabu yoyote. Leo nimesikiliza wazungumzaji waliokaribishwa kusalimia wananchi wa Mwanza kwenye viwanja wa furahisha wakati Magufuli anahutubia (walikuwa ni wabunge, madiwani na wachumia tumbo kama Shibuda) nilijikuta naona aibu mimi kwa jinsi walivyokuwa wanampamba rais. Ah... mimi siwezi kabisa!
 
basi kazi tunayo
 
Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...

Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?

Why now yuko kiimya na Magufuli?
kwa nini kibamba yuko kimya kuhusu magifuli? swali gani hilo! pengine yeye kama watanzania wengi anamuunga mkono rais. pengine hajatumbuliwa. pengine hana ndugu yake katumbuliwa. pengine yeye sio fisadi. pengine yeye sio nyumbu. pengine yeye hana hasira kushindwa uchaguzi wa mwaka jana........
 
UUmeongea kitu very very interesting....
Alichosema jamaa ndicho hasa ulichotaka kusema. Ila kwakuwa unapenda kuwa diplomatic hukusema directly!

Mimi pia nilishamsahau huyu mpiganaji wa Jukwaa la Katiba maana yuko kimya sana. Lakini tusimhukumu maana ndo kwanza tu serikali hii imeanza kazi hata mwaka haujaisha. Hata Kikwete hakuwa na wanaharakati wa kumpinga miaka yake ya kwanza ya uongozi-2006-2007. Naamini watu watakuwa very vocal miaka 2 ya mwisho ya uongozi wa Magufuli, bila kujali mikwara inayopigwa na vyombo vya dola.

Hata hivyo, wanaharakati wa msimu wapo. Ktk utawala wa Kikwete, hakuna mtu alichukiwa na Ponda na wafuasi wake kama Ndalichako. Hata pale 'alipoondolewa' Necta, kwa Ponda ilikuwa kilele cha mafanikio yake. Leo Ndalichako ana jukumu kubwa zaidi ya lile na Necta na Ponda yuko kimya. Je Ponda alikuwa anatumwa na nani?
 
kwa nini kibamba yuko kimya kuhusu magifuli? swali gani hilo! pengine yeye kama watanzania wengi anamuunga mkono rais. pengine hajatumbuliwa. pengine hana ndugu yake katumbuliwa. pengine yeye sio fisadi. pengine yeye sio nyumbu. pengine yeye hana hasira kushindwa uchaguzi wa mwaka jana........

Pengine Magufuli keshampatia katiba mpya
pengine umuhimu wa jukwaa la katiba sasa umekwisha
 
Alichosema jamaa ndicho hasa ulichotaka kusema. Ila kwakuwa unapenda kuwa diplomatic hukusema directly!

Mimi pia nilidhamsahau huyu mpiganaji wa Jukwaa la Katiba maana yuko kimya sana. Lakini tusimhukumu maana ndo kwanza tu serikali hii imeanza kazi hata mwaka haujaisha. Hata Kikwete hakuwa na wanaharakati wa kumpinga miaka yake ya kwanza ya uongozi-2006-2007. Naamini watu watakuwa very vocal miaka 2 ya mwisho ya uongozi wa Magufuli, bila kujali mikwara inayopigwa na vyombo vya dola.

Hata hivyo, wanaharakati wa msimu wapo. Ktk utawala wa Kikwete, hakuna mtu alichukiwa na Ponda na wafuasi wake kama Ndalichako. Hata pale 'alipoondolewa' Necta, kwa Ponda ilikuwa kilele cha mafanikio yake. Leo Ndalichako ana jukumu kubwa zaidi ya lile na Necta na Ponda yuko kimya. Je Ponda alikuwa anatumwa na nani?

Labda kesi inam keep busy?
 
Back
Top Bottom