View attachment 250664 kwa wale ambao bado chukua hii, nimeijenga mimi, pia kama unataka usimamizi nipo nitafute.
haswaaa ngoja nisake mkwanja one day yes ntakuwa client wakoSafi, jipatie drawings upendazo.
Duh, bati 38? bati gani mkuu?
Unajitahidi sana kubuni mkuu, ramani zako naona ziko original na zinavutia.
Kajumba ka vyumba vitatu, kadogodogo lakini master iwe pana kidogo, pia madirisha huwa napenda narrow windows, kuna nyumba moja niliwahi kuona, madirisha yalikuwa narrow kiasi kwamba ukubwa wa dirisha kubwa umegewanya na kuwa vidirisha vitatu vidogovidogo virefu ilinivutia sana, hauna mfano wowote wa namna hiyo mkuu? Na je gharama zako zikoje kwa mchoro wa vyumba vitatu?
Naomba ifahamike kuwa unapohitaji nyumba, ni wewe mwenye specifiation kwamba nyumba yako iweje, na unapenda technical style zipi, na ujenzi wake ni wa aina gani, kwahiyo ukija na full details ni rahisi kukwambia hiyo nyumba ina gharimu bei gani,.
Ukiwa na sketches ukazituma, deed plan za viwanja vyako, pia itasaidia kutambua setbacks na wapi jengo likae.