Kwa ujenzi wa kawaida na ule unaofuata taratibu za mipango miji, njoo ujipatie ramani za vyumba 2, 3, 4. Mfano hiyo chini hapo ni ya vyumba viwili Ina mita 8 kwa 11 haina corido ubunifu mpya wa sasa, ndani kuna master, chumba kimoja kawaida, choo public, stoo, jiko, sebule na dining.
Call or Whatsapp: +255787459850

Preta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.Mkuu........mpaka hiyo nyumba ifike kama inavyoonekana hapo kwenye picha.......natakiwa niwe na sh ngapi..........?........
Preta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.