Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Four bedrooms
nimekutumia meseji PM na nimekupigia cm no response at all, why?
Four bedrooms
Vyumba vitatu, ndani kuna master mbili na study room na chumba kimoja kawaida. Kona ya nyumba hii ni round, new techinique in design kwenye picha ni hizo sehemu zenye vitofali.
Jerhy,
Nice work!
Nimekuwa nikifatilia uzi zako mbalimbali za ramani,kwa hakika unastahili pongezi,Hebu nipevulie hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya bati la Blue imejumuisha nini, Aksante
Jerhy,
Nice work!
Nimekuwa nikifatilia uzi zako mbalimbali za ramani,kwa hakika unastahili pongezi,Hebu nipevulie hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya bati la Blue imejumuisha nini, Aksante
Vyumba vitatu. Plot ya 20 kwa 20 inatosha.
Ukubwa wa nyumba ni 11.0x12.6m.
Kuna,
1. bedroom size 3.0x3.0m,
2. bedroom size 3.0x3.0m,
- kitchen size 2.5x3.0m,
3. master bedroom size 3.0x4.0 na
- lounge/sitting room size 4.0x4.0m.
-Store room size 1.5x2.8m.
Mimi ungenisaidia sana kama ungesema bei ya ramani zako, hiyo mambo ya gharama za ujenzi tusidanganyane, hiyo 10M - 20M ni kusimamisha boma tu, finishing ni mfuko wako.
Mtaalamu hebu tupe bei ya michoro kwa kila aina ya nyumba uliyoweka hapa.
Ni kweli mkuu cha muhimu ni kuwa tu na malengo na kuthubutu, usisubir mpaka upate pesa nyingi ndio ujenge hizo hizo kidogo anza nazo, hapa nimesimamisha vyumba vitatu kimoja kikiwa master, siting room dining jiko, public toilet korido na ina baraza moja, nimetumia jumla ya tsh 3,500,000. najikusanya tena kwa bati na mbao maana itaingia bati kama 70 hivi za ki tz
sasa hapo ndio patamu!!
mbona naamini Mungu?
lbd kuna imani ya ziada?
mbona najitahidi kuisaka sh??
mbona ctoki kama wenzangu??
mbona cfanikiwi???
kila kukicha heri ya jana...
lbd kuna ninapokosea ila cjajua ni wapi!!!