Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
Though umeleta kautani kidogo lakini ni ukweli mtupu maisha tunaypishi ni uchaguzi wetu wenyewe, inaweza tusifike juu sana ila tukasogea kutoka maisha ya awali ambayo hayakuwa mazuri kwenda kwenye maisha ambayo ni standard kama kweli tuna nia ya dhati tatizo tu muda tunautumia vibaya hasa pale watu wanapokuwa hawana majukumu (kila kama ali balance mambo yake kipindi hiki wengi wanakuwa vizuri though hakuna formula ya mafanikio kikubwa nia ya dhati ya kutaka kubadilika na kuchukia mfumo wa maisha ambao ulikuwa unaishiYou can only get what you want!, kuna wengine wameridhika na nyumba ya kupanga, hivyo ni wapangaji maisha yao yote!. Wapo walioridhika na usafiri wa daladala, hivyo wao ni dala dala tuu. Na kwenye magari watu wa hama, wapo, watu wa vogi, wapo, chopa wapo, na juzi nimekuta kuna ki jet kipepark pale airport nikaaambia ni ki jet cha mtu!. You can only get what you want!. Mimi wish yangu ilikuwa boda boda, nilipata na nikapata nayo ajali, sasa niko kwenye bajaj!.
Pasco