Upande wa parking na nyuma ya nyumba
Michoro inachapishwa kwa karatasi isiyofutika ikilowa maji miaka 50 je umewahi ona technolojia hii,
Hizi sio mpk ukusanye mamilioni , njoo hata sasa, yote yanawezekana
Design ya muezeko wa mabati lazima yewe hivyo tu? Nimeona nyumba nyingi zenye vi-pembe tatu huko juu vinageuka kuwa milango ya popo!
Je unaechora design za mabati akili imegota mwisho huwezi ondoa hivyo vi-triangle?

Duh, bati 38? bati gani mkuu?
Unajitahidi sana kubuni mkuu, ramani zako naona ziko original na zinavutia.
Kajumba ka vyumba vitatu, kadogodogo lakini master iwe pana kidogo, pia madirisha huwa napenda narrow windows, kuna nyumba moja niliwahi kuona, madirisha yalikuwa narrow kiasi kwamba ukubwa wa dirisha kubwa umegewanya na kuwa vidirisha vitatu vidogovidogo virefu ilinivutia sana, hauna mfano wowote wa namna hiyo mkuu? Na je gharama zako zikoje kwa mchoro wa vyumba vitatu?