Design simple za Nyumba vyumba 2

Design simple za Nyumba vyumba 2

Roofing style upendayo wewe ipo

Yeah, hiyo roofing ni nzuri kwani haitengenezi milango ya popo huko mbele ya safari. Bei ya design zako weka hapa tujipime tukupe kazi mkuu.
 
Lakin nahisi hizi ni downloaded picture na ata gharama za hizo nyumba zinawalakini maana inategemea na eneo lenyewe yaani level ya aridhi pia sehemu onako jengwa mfano Dar au simiyu. Kwa Dar nahisi gharama zitakuwajuu zaidi ya 30.
 
Downloaded,,,,,,,,hapa umenivunja mbavu,,, nipe kazi uone ladha yake ndio utaamini kinachofanyika
 
Hata na mimi hapo kwenye idadi ya bati sijaelewa ni size gani, kama ni haya ya kawaida ya 1mx3m/2.5m lazima atakuwa amesahau 1 ya mbele. Yaani idadi ya bati itakuwa zaidi ya 138, tena mjengo wenyewe ni "mapara manne", kwa muezeko wa "mgongo wa tembo" lazima bati zitakuwa zaidi ya 95. Idadi ya mabati 38 yaani bundle 2 (kila bundle ya Simba dumu ya gauge 30 ina jumla ya mabati 16) Hivyo labda uezeke muezeko wa "slope" kwa hizo bati 38 yaani bundle 2 uongeze bati 6![/QUOT]

Hizo hesabu unazopiga wewe je unajua mchoro una vipimo gani!?
 
Designing is a techinical issue, kuna vitu vingi sana hufikiriwa
 
Preta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.

Utakuwa umemwongopea nyumba ni 8M x 11M = 88 Sqm

Kwa bei za mwaka juzi, 1 sqm = 650,000 hivyo kuwa uchache, thamani ya hiyo nyumba ni 57,200,000
 
Utakuwa umemwongopea nyumba ni 8M x 11M = 88 Sqm

Kwa bei za mwaka juzi, 1 sqm = 650,000 hivyo kuwa uchache, thamani ya hiyo nyumba ni 57,200,000

Uko sahihi kimahesabu, lakini ujenzi ni tofauti na majenzi ya kila mahali na jinsi unavyotaka nyumba yako iwe.
 
Shukran mkuu, je kuna vyumba aina gani mkuu(i.e. master ngapi, study room, dining etc etc)

Hiyo ni vyumba vitatu vyote ni master. Ainisha jinsi nyumba yako unavyotaka iwe, kisha wasiliana nasi kujipatia design uipendayo
 
Ainisha design iweje, tudesign kwa ajili yako
 
Nyumba ni nzuri sana ukiweza kupata Fundi Wa kuweza kujenga km inavyoonekana. Siyo mtu anajenga jumba kubwa anamaliza kiwanja chote bila kuacha hata sehemu ya kupumzikia nje.

Ha ha ha ni kweli hayo yapo ila nashauri kununua kiwanja kikubwa maana kuna watu wana viwanja 20×20 na anataka nyumba ya vyumba vinne,baraza,parking na garden.Sasa hiyo ni changamoto kwa fundi
 
Ha ha ha ni kweli hayo yapo ila nashauri kununua kiwanja kikubwa maana kuna watu wana viwanja 20×20 na anataka nyumba ya vyumba vinne,baraza,parking na garden.Sasa hiyo ni changamoto kwa fundi

Inabidi vyumba viwe vidogo au vinginevyo parking na garden aache
 
Utakuwa umemwongopea nyumba ni 8M x 11M = 88 Sqm

Kwa bei za mwaka juzi, 1 sqm = 650,000 hivyo kuwa uchache, thamani ya hiyo nyumba ni 57,200,000

Hizo ni hesabu za kwenye vitabu nazungumzia kutokana na experience.
 
Hizo ni hesabu za kwenye vitabu nazungumzia kutokana na experience.

Inategemea kama unatengeneza nyumba au mfano wa nyumba. Hiyo nyumba kwa bei za Arusha

Tofali zake hazipungui 5.5 million;
Bati zake mgongo mpana si chini ya 1.5 million
Cement ya kujenga hizo tofali 3000 - 1 million
Mchanga wa kujengea hizo tofali ni kama 1 million
Ufundi msingi na kuta si chini ya 2 million

Material za jamvi sijaweka, mbao/marine board bado, mbao za kupaua. Kwa hivyo vichache tayari 11 million imeshaondoka kwenye 22 million yako. Finishing ya nyumba ni ghali kuliko structure??? Tusidanganyanye kwamba 22 million utakuwa na nyumba yenye choo na kitchen ndani labda madarasa
 
MaHesabu kwa vitendo
 
Ujenzi katika miji na sehemu zingine ni tofauti sana gharama za material za ujenzi, mfano ukiwa morogoro tofali 6000 kwa laki sita zile za kuchoma zinajenga kuta mpaka level ya linter kwa nyumba ya vyumba vitatu.
 
Back
Top Bottom