mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 770
- 451
Safi sana
ramani ya vyumba vitatu inakuwa ni Shilingi ngapi?
Kazi nzuri,Hongeni!
Mkuu ka vyumba vitatu katagharimu sh ngapi ?
Mtoa mada haya maswali unayajibu pm au umesepa
Mtoa mada hutaki kujibu maswali, akitokea mwingine akaweka diagram, na akaweza kujibu maswali yetu, bac huyo ndo the best
Mkubwa ujenzi huo na kwa mwonekano huo kwa uchache itagharimu shilingi ngapi
Asante mkuu
Naomba ifahamike kuwa unapohitaji nyumba, ni wewe mwenye specifiation kwamba nyumba yako iweje, na unapenda technical style zipi, na ujenzi wake ni wa aina gani, kwahiyo ukija na full details ni rahisi kukwambia hiyo nyumba ina gharimu bei gani,.
Ukiwa na sketches ukazituma, deed plan za viwanja vyako, pia itasaidia kutambua setbacks na wapi jengo likae.
Kako vizuri..
Eti...Hivi hiyo ni ramani au picha ya nyumba?!