Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 258
Mkuu........mpaka hiyo nyumba ifike kama inavyoonekana hapo kwenye picha.......natakiwa niwe na sh ngapi..........?........
Preta pande ile ya Mchechu wa NHC kama hiyo inauzwa shs 70/80 milioni.
Mkuu........mpaka hiyo nyumba ifike kama inavyoonekana hapo kwenye picha.......natakiwa niwe na sh ngapi..........?........
Preta pande ile ya Mchechu wa NHC kama hiyo inauzwa shs 70/80 milioni.
Huo ujenzi wa ki-BoQ mkuu mmhh!!! nilidhani muulizaji yuko kibongobongo zaidi. Tukienda kwa utaratibu huo tunaweza kutishana tusithubutu kuanza.
Mkuu. Nini maana ya kirefu cha BOQ ?.
Asante kwa maelezo yako ila usikimbie jukwaa , please endelea kujibu maswali ya raia.
duh! Mungu sianifanyie muujiza!! moyo wangu umehuzunika lkn macho yamefurahia!
Uuuwiii......asante kwa kunijuza bei......sasa nikienda bank nawaambia mimi ni nani.......ili wanikopeshe hela......?.........
Eti...Hivi hiyo ni ramani au picha ya nyumba?!
Picha, ramani ina gharama zake besti
Uuuwiii......asante kwa kunijuza bei......sasa nikienda bank nawaambia mimi ni nani.......ili wanikopeshe hela......?.........
Mkuu nahitaji ramani ya vyumba 3 kama sample kwanza na gharama kwa ujumla hata kwa makadirio tu.
Inawezekana huwa wanakopi na kuoesti. Maana kama wao mdio wabunifu wenyewe hawawezi kukimbia jukwaa kwakuwa wateja wanakuwa na hamu ya kupata bidhaa waliyotangaza. Mimi nashauri watu wasitangaze bidhaa ambayo hawazalishi wao, hawana ujuzi nayo hawafanyi biashara hiyo kwani inakuwa ni kuwapotezea muda watu. Watu serious ungekuta wametoa contacts zao kama simu, email na anwani.
Hawa watu wanaoleta hizi pics I doubt Kama kweli n wao wanachora na kusanifu, the reason , kwa nini wakiweka picha tu , wanaondoka, hawajibu maswali, hawashiriani na wahitaji kujibu maswali Yao. Kuna mmoja alikuwa anaweka adverts hapa za kudesign logo,kila ukimcheki,Mara Nipo Arusha, dodoma sijui tandahimba. Why put advert if you can't even stand for it?
Inawezekana huwa wanakopi na kuoesti. Maana kama wao mdio wabunifu wenyewe hawawezi kukimbia jukwaa kwakuwa wateja wanakuwa na hamu ya kupata bidhaa waliyotangaza. Mimi nashauri watu wasitangaze bidhaa ambayo hawazalishi wao, hawana ujuzi nayo hawafanyi biashara hiyo kwani inakuwa ni kuwapotezea muda watu. Watu serious ungekuta wametoa contacts zao kama simu, email na anwani.
BOQ=Bills of Quantity-Gharama za ukadriaji majenzi, cost estimates......
Ujenzi wa kawaida ukiwa na 10 M unamaliza tu vizuri, yaani plot unayo tayari. Ishu za finishing, decorations, ni vitu vya ziada kutokana na interedt zako, ndio maana kuna coral paint na sadolin,,,,,,
Kwa wanaouliza gharama za nyumba yote kuna vitu viwili lazima utofautishe.
1. Schedual of material
2. Priced BOQ
Kila kitu kina hesabu zake katika ujenzi.