eli -DEFIANT- cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,785
- 30,077
Usiulize wewe hahahKuna nini tena?
Ahahahah afisa upenyo au sioNdo nishavujusha secret
Wanasema eti wewe ndio ulikuwa yule pisi kali pale wanakugombania hahah
Mhhh hata sikumbuki hii movieWanasema eti wewe ndio ulikuwa yule pisi kali pale wanakugombania hahah
Hatuelewi kitu mkuu,na hivi tupo Nanjilinji huku.Hebu ni PM MkuuUsiulize wewe hahah
Mmmh mwanangu hahahNdio nani huyu derick
Mhhh hata sikumbuki hii movie
Hahaha mkuu taratibu mkuuDerick aliyetoa mguu wa kuku
Aah sawa...😄![]()
DOKEZO - Responded - Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...www.jamiiforums.com