Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Wewe bdo mtoto sana.. dj mark .. hata miaka 5 hana.. afu ww unasema ulikuwa unatoroka shule.. tena ysikute hapo ylikuwa shule... ebu nenda kasome huko... kajifunze kuandika essay
 
Tatizo waongo mno,muvi inamaanisha vingine yeye anatafsir vingine
Yani uwa wanadanganya concept nzima ya movie wanapotosha.
Mfano movie ile ya kitoto ya the baby is there out lilikuwa tukio la siku moja yan within 24 hrs, yeye kuna sehemu anakwambia siku ya tatu bado mtoto hajapatikana....
Personally nilikuwa natazama enzi za udogo wangu ila now sitazami tena kwanza zinakuwa na poor quality
 
Wa kizazi cha sasa ndo watawapenda hao wanaojiita ma dj lkn sisi enzi zetu Lufufuuu Lukoma abambeija ndo habari ya mjini.
Sio lukoma ni mukama wa bambeija.
Yani mfalme wa bambeija (Mbambeija ni ukoo flani wa kabila la wahaya huko kagera)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…