Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

maskin lufufu enzi zake muvi bandani kiingilio sh 50 now wanatuchajisha 200 hadi jero.

R1 P Lufufu a.k.a mzee wa mabadiliko
 
Wakuu iliwekwa post humu kuwa mtafsiri movie wa kibongo almaarufu lufufu kuwa amefariki, habari hizo hazina ukweli wowote,na nimezungumza na mfanyakazi wake kasema bado yuhai
 
R.I.P mtafsiri wetu japo kuna watafsiri wengine mchango wako katika movies ni mkubwa tutakukumbuka kwa hilo
 
Mtu anaanzaje kizusha kifo cha mwenzake ambaye sio mwanasiasa na wala sio ccm?
 
Kumbe Lufufu hajafa?

Anyways, kulikuaga na mwingine kota za msimbazi aliitwa Sancho. Ye alitafsiri live!
 
Dah,pumzika kwa amani Mkandala. Je atazikwa kwao Kibosho Moshi au kule alipolowea Bukoba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom