Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Mchango wake umekuwa mkubwa katika utafsiri wa filamu.nimeona picha mbali mbali alizotia tafsir zake.pumzika kwa amani kapteni derick yusuph mkandala
 
Wapeeeenzi watazamaji....... picha yetu ya leo inaitwa TIGER CANE iliyochezwa na Donnie Yen akishirikiana na Mwanadada machachari Yue Wei.......inaletwa kwenu moja kwa moja na mtaalam wenu Mkandala Lufuufu Lukomambeija Nakoma Byalelemba Nasika Byagutuka kutoka hapa Mbagala kwa Mangaya,DSM.
 
Aliyezusha kifo chake aunganishwe na yule waaliyemzushia Mwamunyange,kuonesha kuwa hakuna double standards
 
Ila hata dj mwenzake ambaye ni DJ black 4shizo kasema amefariki kwel
 
Aliyezusha kifo chake aunganishwe na yule waaliyemzushia Mwamunyange,kuonesha kuwa hakuna double standards
ndugu you're so smart I salute! Hii ndio kujua sheria ni kwa wote na sio kwa wachache
 
TCRA mko wapi?
Mkuu binadamu wote ni sawa lakini wengine ni sawa zaidi. Usije ukafikiri ukitoa taarifa za uwongo kuhusu lofa fulani kuwa kafa udhani watafuatilia. Lakini taja kigogo mmoja tena awe wa serikali kuwa kafa au kafanya jambo fulani baya uone kama utakatiza
 
Aliyezusha kifo chake aunganishwe na yule waaliyemzushia Mwamunyange,kuonesha kuwa hakuna double standards
Thubutu! wahangaike na malofa? Hizo sheria zitawagusa wadogo au wapinzani wanapowakosea wakubwa. Wewe huoni watu wa chama twawala wanapanda majukwaani na kuoneshwa live katika tv na kusikika redioni wakimkashifu mgombea wa upinzani kuwa ni mgonjwa, anajikojolea, kajinyea na hawafanywi kitu. Ingekuwa ni wapinzani wanamsema mkuuu pale baharini ambaye ni binadamu ni mgonjwa ungekuta wameshakamatwa kwa kukashifu na kuswekwa ndani kisha kufunguliwa mashitaka ya kutoa maneno ya dharau na kumkashifu kiongozi mkuu.
 
Muvi hii imetafsiriwa na kuwekwa maneno ya kiswahili na Kepteni Derick Gasper Mkandala Lufufu Lukomambeija, Nakoma byalelemba, nasika byagutuka. RIP Lufufu
 
Ametangulia nasi tutafuatia.Tutavimiss vionjo hivi: Aliandaa ngumi inaitwa 'mwangalluka goko', 'piga kwenye kijastibikoz', 'Schwarzenegger alishika bunduki inaitwa kata miti', 'alipigwa loba inaitwa form six', 'piga mtama unaitwa mbagala kwa mangaya'.
 
Do nakumbuka alitafsili move moja hivi. Jambaz lilivaa nguo za ki Padre harafu likampiga roba afande mmoja akabaki chini anakoroma alipofika bosi wake akamuuliza vipi? Jamaa akajibu" Afande Padre anyiga"
 
"Mbalina kogobya!" Msemo huu unatumiwa na mashabiki wa Arsenal hapa uswazi kwetu mahususi jamaa wakiwa wanashambulia goli la timu pinzani. Mashabiki wooote wa Arsenal huwa wanachant hiyo phrase hapo juu.

Naiheshimu sana kazi yako mkandala.

R.I.P Lufufu ur always be missed.
 
Dah mida hii naangalia movie aliotafsiri missing in action chuck Norris yaani lufufu alikuwa noma..
 
Bila shaka we utakuwa mtoto wa kishua

Ahahah umeona eeh akina sie watoto wa uswazi tukiongozwa na diamond platnums tunamfahamu vizur huyu jamaa, alikuwa anatuburudisha sana nakumbbuka tulikuwa tunatoroka shule kuwahi movie za akina Arnold na jet lee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom