BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 4,695
- 10,221
Nyamaza wewe nyamkomwe, hujui kitu.Halafu "unanitagigi" pamoja naye 🤣
Nyamaza wewe nyamkomwe, hujui kitu.Halafu "unanitagigi" pamoja naye 🤣
Hao madereva wangekuwa wanapimwa mkojo na akili kwasababu kuna siku walimbana mkono mama mmoja aliyekuwa anashuka huku anamkokota mwanayem na siku nyingine walimbana mzee mmoja Ubungo terminal, ila akili zao haziko sawa sijui wanapewaje hizo kaziDereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo
😂😂😂😂Dishi langu limeenda likizo. Naomba mniheshimu kwa hilo.
Kazi ni wito.
Saana, tukute tunavyolalamika ajira sasaWaswahili tuna kazi
Si waliajiriwa Wanajeshi ili kuokoa pesa....Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu
Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna wakushuka na wala wakupakia, wakwamwabia wapo wakushuka manzese
Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria Kwa hasira
Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo
View attachment 2938988
Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
Wampe Bahkresa uoneDereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu
Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna wakushuka na wala wakupakia, wakwamwabia wapo wakushuka manzese
Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria Kwa hasira
Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo
View attachment 2938988
Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
Geshi lipi?Si nasikia madereva wa mwendokasi ni wanaGESHI?
Yaelekea tunao humu 😁Acha kuifananisha bangi na vitu vya ovyo, jadili kichwa cha mvutaji sio bangi!