Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,197
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu

Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna wakushuka na wala wakupakia, wakwamwabia wapo wakushuka manzese

Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria Kwa hasira

Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo

Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
 
Wana stress hai za malipo.

Na siku hizi wana kautaratibu kabaya sana. Ukienda kukaka ticket wanakuambia auwape 250 maana hawataki kusumbuka kutafuta chenji.

Ushauri wangu kwa serikali ni kwamba, zile kazi za kukata tiket na ku scani kwakwel inabid wapewe viwete na walemavu wengine ambao wanamudu kufanya.
 
Sitasahau siku moja asubuhi kabisa nawahi kwenda kariakoo pale usalama Nampa Hela mkata ticket ananiamba Hana chenchi nikatafute mim nimleteee ikiwa kamili ,muda huo Ni asubuhi hata maduka ya kununua vocha ili nipate Hela ya kumpa Hakuna .....aiseeee siku ile nilitoa tusi ambalo sikuwahi mtukana MTU yeyote toka nazaliwa .....Kwa hasira nikapanda pikipiki Kwa hasira ,nikala hasara maana nilitoa 6000 kwenye pikipiki
 
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu

Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna washuka na wala wakupakia sehem hamna gari imejaa sana

Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria...

Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo

Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
hao abiria wamepata walichokuwa wanakitafuta...tena dereva angeenda kuwashushia huko kibaha kabisa
 
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu

Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna washuka na wala wakupakia sehem hamna gari imejaa sana

Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria...

Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo

Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida

Usikute ana miezi 3 ajalipwa, ila wake wa viongozi wanalipwa mamilioni.
 
Back
Top Bottom