Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

Wana stress hai za malipo.
Na sikunhiiz wana kautaratibu kabaya sana. Ukienda kukaka ticket wanakuambia auwape 250 maana hawataki kusumbuka kutafuta chenji.

Ushauri wangu kwa serikali ni kwamba, zile kazi za kukata tiket na ku scani kwakwel inabid wapewe viwete na walemavu wengine ambao wanamudu kufanya.
Aisee
 
Jitahidini hata mnunue haka kakitu malalamiko muache

images (3).jpeg
 
MMH ILA HAO WANAVISIRANI WANAWEZA KUGOMA KUKATISHA TICKETS KABISA

Back
Top Bottom