Dentist wa Giggy Money

Dentist wa Giggy Money

Ndugu zangu nataka kumjua Dentist wa Giggy Money.

Nataka kuyafanya meno yangu kuwa meupe nimejaribu kila njia imeshindikana.

Kuna dentist niliwapigia wakasema wao hawana mashine ya kusafisha meno kuwa meupe Ila wana dawa unatumia. Nilisha tumia nyingi in vain nikaona sio kweli.

Kama kuna mtu yoyote ana connection na dentist wa Giggy Money au dentist yoyote Yule anae safisha meno na kuwa meupe ya kun'gaa.

Location Dar Es Salaam.

🙏🙏🙏🙏
Dawa gani umetumia? Dawa pekee kungarisha ni dilluted solution ya hydrogen peroxide
 
Ndugu zangu nataka kumjua Dentist wa Giggy Money.

Nataka kuyafanya meno yangu kuwa meupe nimejaribu kila njia imeshindikana.

Kuna dentist niliwapigia wakasema wao hawana mashine ya kusafisha meno kuwa meupe Ila wana dawa unatumia. Nilisha tumia nyingi in vain nikaona sio kweli.

Kama kuna mtu yoyote ana connection na dentist wa Giggy Money au dentist yoyote Yule anae safisha meno na kuwa meupe ya kun'gaa.

Location Dar Es Salaam.

🙏🙏🙏🙏
Una meno ya Arusha halafu unategemea yangae? Sahau
 
Screenshot_20250712-175606_Chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom