Dentist wa Giggy Money

Dentist wa Giggy Money

Kwa Picha alizotuma mkuu
Hayo meno ni Bandia(Veneers)

Kiashiria kikubwa ni meno ya tatu(Canine), ya kawaida yana asili ya mchongoko kwenye picha yote yanafanana kama meno ya mbele(incisors)

Ko kama Bongotunacheza unataka hivyo, sio dawa tena ni daktari(dentist) anahitajika
Meno bandia una maanisha nini? Ameyavalisha kwa juu? Meno yake yako Wapi halisi. Kayang’oa? Au Ndio hayo ila kaya shepu na ku bleach? Ushamba huu jmn nisaidie
 
Hahahaha we mbwa acha ukichaa wako hapa,,😂😂😂😂😂😂😂
Nilete uzi hapa kila mtu aone 😂😂😂😂😂

Daaah aiseee utoto ule wallah nilikua nimepagawa na nni sijui au nilikua nakula mjani mimi..😂😂😂😂😂

Mbona na wewe ulikua unashusha mistari kumbuka 😂😂🙌
 
Nilete uzi hapa kila mtu aone 😂😂😂😂😂

Daaah aiseee utoto ule wallah nilikua nimepagawa na nni sijui au nilikua nakula mjani mimi..😂😂😂😂😂

Mbona na wewe ulikua unashusha mistari kumbuka 😂😂🙌
😂😂😂😂😂😂 Kijana mimi sijawahi shusha io mistari,usitafute pa kuponea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom