Dentist wa Giggy Money

Dentist wa Giggy Money

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kijana mimi sijawahi shusha io mistari,usitafute pa kuponea
""Mbona unanitazama
Kisha waza kulia, kama nimekukosea
Naomba unisamehe....."""
 
""Mbona unanitazama
Kisha waza kulia, kama nimekukosea
Naomba unisamehe....."""
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ aaaah
 
Meno bandia una maanisha nini? Ameyavalisha kwa juu? Meno yake yako Wapi halisi. Kayang’oa? Au Ndio hayo ila kaya shepu na ku bleach? Ushamba huu jmn nisaidie
Hawayangoi
kuna namna mbili
Ya kwanza ni wanabandika gamba juu ya meno yako halisi, ila itafanya meno yako yaonekane makubwa
Screenshot_20250713_003702_com.UCMobile.intl_edit_69539217897201.jpg



Ya pili ni wanakwangua meno yako halisi ili pawe na nafasi ya kupachika meno bandia (picha chini inaonesha meno yaliyokwanguliwa kwaajili ya kuandaa kuweka Veneers)
Ila ndo hivyo wanakwangua meno halisi kwenye njia ya pili
Screenshot_20250713_003827_com.UCMobile.intl_edit_69528116898244.jpg
 
Kiufupi meno kama ni ya njano jua hawawezi badilika kwa kupiga mswaki hata mara kumi kwa siku tunachofanya ni veneers Tu. Zipo hospital nyingi Tu hapo dsm zinazotoa huduma hiyo but it expensive
 
Ndugu zangu nataka kumjua Dentist wa Giggy Money.

Nataka kuyafanya meno yangu kuwa meupe nimejaribu kila njia imeshindikana.

Kuna dentist niliwapigia wakasema wao hawana mashine ya kusafisha meno kuwa meupe Ila wana dawa unatumia. Nilisha tumia nyingi in vain nikaona sio kweli.

Kama kuna mtu yoyote ana connection na dentist wa Giggy Money au dentist yoyote Yule anae safisha meno na kuwa meupe ya kun'gaa.

Location Dar Es Salaam.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Ndio nani huyo gigy money huko dar?!
 
Hawayangoi
kuna namna mbili
Ya kwanza ni wanabandika gamba juu ya meno yako halisi, ila itafanya meno yako yaonekane makubwa
View attachment 3403650


Ya pili ni wanakwangua meno yako halisi ili pawe na nafasi ya kupachika meno bandia (picha chini inaonesha meno yaliyokwanguliwa kwaajili ya kuandaa kuweka Veneers)
Ila ndo hivyo wanakwangua meno halisi kwenye njia ya pili
View attachment 3403651
Hii ya kukwangua siku ya bandia yakiondoka na huna hela sijui itakuaje?bora kubandika bila kukwangua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom