Dengue Mchana usiku Malaria

Dengue Mchana usiku Malaria

Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1400231813.805508.jpg

......eti Juice ya majani ya mpapai halafu zile mbegu unakula kama karanga! Mnh!....

#MosKwito !
 
Afu hawa mbu wa dengue sio wale walikuwa wanafugwa Muhimbili kwa majaribio? Bora Malaria yetu tumezoeana, tunataniana na kucheka pamoja.

.......Ssssshhhh!, mbona mnataja siri za sirikali banaaa?
Wenyewe #Watafiti walijifanya kuja na plan A tu, sie #Mbu tunazo mpaka Z.

......halafu hebu taratibuni banaaa, mtamaliza mipapai kwa kukata majani yake,.....hivi mnadhani ule mti utapumuaje?

#MosKwito !

Hahahahahahahah
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu siku yako ipo tuna mpango wa kuwakusanya wote popote mlipo tuwarudishe maabara maana huku mtaani mmezidi sasa mara dengue mara malaria mara busha mara matende ahhh Nicas Mtei salama mkuu na Eiyer pole kwa kuugua mkuu naamini unaendelea vyema
 
Last edited by a moderator:
nimeng'ata na mbu wa ivo leo,sijui ndo nshakwaa dengue...mh naogopa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu siku yako ipo tuna mpango wa kuwakusanya wote popote mlipo tuwarudishe maabara maana huku mtaani mmezidi sasa mara dengue mara malaria mara busha mara matende ahhh Nicas Mtei salama mkuu na Eiyer pole kwa kuugua mkuu naamini unaendelea vyema

.....hahhhahh! ....mkuu ukizitafakari faida za #Mbu katika maisha ya kila siku utakubali tu acha tuzaliane kwa wingi.
By the way, si umeona ushuhuda wa Nicas Mtei hapo juu ya huo utafiti "fyongo?".....eti mbu wa dengue waje wawaangamize mbu wa Malaria....kha? hii ni GENOCIDE bana, dhambi hii ya "Ethnic Cleansing" itaendelea kuwatafuna.
 
Huo sio utafiti wangu. Ni swala ambalo limefanywa na serikali na lilitangazwa.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu siku yako ipo tuna mpango wa kuwakusanya wote popote mlipo tuwarudishe maabara maana huku mtaani mmezidi sasa mara dengue mara malaria mara busha mara matende ahhh Nicas Mtei salama mkuu na Eiyer pole kwa kuugua mkuu naamini unaendelea vyema

KWema sana kaka....
 
Last edited by a moderator:
hehehe, utatukoma. mosquito repellents nimeweka kila mahali, jikoni, sebleni, chumbani, chooni! vimini kwa kwenda mberrrreeee, malaria haikututisha seuze dengue. na panadol tunatembea nazo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hehehe, utatukoma. mosquito repellents nimeweka kila mahali, jikoni, sebleni, chumbani, chooni! vimini kwa kwenda mberrrreeee, malaria haikututisha seuze dengue. na panadol tunatembea nazo

...hahah, dahhh.....kumbe mnaogopa ee?!
hamtaki kwenda Paradiso?

Kaning'ata mkono ndo nikawa namshangaa kushtuka nikamfukuza,..

....pheeww, umefanya jambo la maana sana kutokumuua,
hata yeye ana familia, huenda alikuwa anajitafutia rizq yake tu ya siku.
Ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom