Denda asubuhi na boyfriend wangu

Denda asubuhi na boyfriend wangu

Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Acheni hio tabia ya uzinifu uone kama mtakua na ugomvi tena.
 
watu tunazama chumvini wakati wa bleed sembuse domo kunuka....kwanza ukilamba huo uchafu unaongeza kismart kwenye madili au biashara yko so girl ww lamba tu hilo domo usiwazw
Duu [emoji15][emoji15]
 
Loo, twafa mweee.... domo kunuka wajameni ni nouma sana kwa mwanaume. Mshauli ajitahidi kupiga mswaki na dawa ya meno at least mara mbili kwa siku kwa kupiga baada ya breakfast na sio kabla pia usiku kabla ya kulala. Nashauli mtumie Listerine mouth rinse ni dawa nzuri sana kuweka domo kunukia mint kila wakati hususani kabla ya kulala. Mgegedo unanoga sana sana pale pumzi zenu zikiwa swafi.
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Hivi, ukiolewa utaenda kufanya nini kwenye ndoa.?!
 
Hivi we mtoto unajiona uko parfect?unajua ni mangapi jamaa anakuvumilia mkiwa kwenye sex,na yeye aanze kuyatoa nje ya kwako?
 
Mi hua silalamiki kwa kua najua siko perfect akisema kitu tusifanye sihoji mara mbili
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Jitahdini kuamka asubuh na kupiga mswak alafu mshirik tendo hilo
 
Mfahamishe kama asubuhi huwa ananuka mdomo
 
Ila wengine jmn hata sio asbh mdomo unanuka kama nini sijui alaf hata hawajihisi,mbona mtu unauezo kabisa wa kujijua kama mdomo uko vizuri au vp wanalazimisha wale mate asa watu kama hao ikiwa asbh sijui inakuaje ptuu
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Kuna wangu akiamka asubuhi mdomo unanuka Kama panya kafa.kwa kweli mm namgomeaga,ndo anapenda kiss hatari.
 
Ni vizuri kutopigana denda asubuhi kabla hujaswaki utapunguza maambukizi ya bacteria wa usiku.
 
Kwichi kwichi mpaka asbh ya saa ngapi? Asbh mda wa kuwahi kazini nyie mnashika shika uchafu, looh!......
hahahah boyfriend gani alambana naye kila asubuhi? hahaha au itakuwa ni wana chuo =chaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom