Denda asubuhi na boyfriend wangu

Denda asubuhi na boyfriend wangu

Acha kabisa, kushare midomo asubuhi wakati wa kuamka hata kama umepiga mwsaki kabla ya kulala kwangu ni ngumu kumeza.... Dah hapana kabisa.. eti mapenzi ni uchafu? Basi mimi nauchukia sana uchafu!
Halafu kana jana yake mlitoa lock
 
Ivi kuna mtu anaweza kuamka asubuhi asinuke mdomo kama wapo wachache sana pia mapenzi ni uchafu unaacha kumpiga denda afu unamnyonya sehemu za siri so what , ukimpenda mtu kwa dhati uchafu kitu gani, watu tunaramba kitoa mavi sembuse mdomo , grow up girl
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Hakikisheni mnapiga mswaki vizuri kabla ya kulala, au muamke mpige mswaki ndo mlete hiyo "morning glory"...
 
Kawaida. Ya. Mapenzi hayana adabu au hayana nidham kisha Siri za ndani si za kutoa nje jifunze ama kua.
 
Binafsi sifanyi mapenzi bila ya kujiweka mwili wangu safi,
Hata kama cha asubuhi fasta lazima tuamke tujiweke katika hali ya usafi,
Mwambie ukweli, japo ukweli unauma ila utakuwa umemsaidia
 
Pole sana binti, tambua kuwa mapenzi n uchafu uliopitiliza, hivyo huna budi kulamba ulimi wa bae wako bila kufikiria harufu yake.

Ila na sisi watoto wa kiume tujiangalie, jitu linavuta goso na mitaputapu linataka likiamka limlambe mtoto wa mtu, sio fair, usafi kwanza, uchafu baadae
 
Kweli mapenzi ni uchafu!

Halafu, hivi denda ni utamaduni wa Mwafrika [whatever that is] kweli?

Au ndo mambo ya kuiga Wazungu...
Kwani ni starehe gani ambayo waafrika hawajamuiga mzungu?

Sisi ni wa kuiga tu kila kitu...tokea mwanzoni hatuna ujanja wowote kwa Mzungu.

So hata hiyo kunyonya denda ni utamaduni wa wazungu ila waafrika tumeiga.
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?

Sasa binti huyo mnaelala na kuamka na kuombana madenda bado ni wa hadhi hiyo hapo juu???
 
Kwani ni starehe gani ambayo waafrika hawajamuiga mzungu?

Sisi ni wa kuiga tu kila kitu...tokea mwanzoni hatuna ujanja wowote kwa Mzungu.

So hata hiyo kunyonya denda ni utamaduni wa wazungu ila waafrika tumeiga.

Na kweli...hata majina tumeiga.

Eti mtu, Mtanzania anaitwa Elizabeth Michael....ushawahi kuona M-Denmark anaitwa Nyangwende Kyendesya?
 
..tena mshindwe na mlegee haswa! na alaaniwe yule azinie na mwanamke..yaani huoni haya au dhambi kuthubutu kutuambia kuwa unazini na kijana wa watu usiku kucha?..afu unaomba na ushauri ili ukazini vizuri!!!!?..njo nikupige maombi mpaka huyo pepo wa ngono apeperuke.
 
"Nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe ......

" Nakupenda tu,.. Domo kama ngiri.. Nakupenda tu.... ... Ze Dudu..
AISEE CJAONA REPLY KAMA YAKO KATIKA UZI HUU UMEFUKUA VILIVO LALAGA ENZI HIZO NAHISI AKICKILIZA HZO NGOMA "MORNING GLORY" ATAIFURAHIA
 
Na huyo boyfriend wako jogoo hawiki mpaka ale denda? Gari ya kusukuma hiyo...
 
Back
Top Bottom