Denda asubuhi na boyfriend wangu

Denda asubuhi na boyfriend wangu

Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Vaa mask !!
 
weueweee take Ten sikupi five ndogo,wanawake wa sikuizi wachache sana wanaweza kuamka asubuhi na kumuacha mumewe au mpenzi wake ka lala yeye akatengeneze Coffee ,wanashindwa kuelewa kua viji mambo vidogo dogo ndio vina point kubwa..
Thanks mamii ubarikiwe sana tena sana,inaonesha unamjali mzee wako.
 
Back
Top Bottom