Denda asubuhi na boyfriend wangu

Denda asubuhi na boyfriend wangu

henya

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
 
Mapenzi ni uchafu na hayana kinyaa vumilia ila kuwa msiri mambo ya ndani yaishie huko huko
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bf ama mume unalala naye kila siku anapangusa asubuhi kwikwikwi
 
Kweli mapenzi ni uchafu!

Halafu, hivi denda ni utamaduni wa Mwafrika [whatever that is] kweli?

Au ndo mambo ya kuiga Wazungu...
 
Eeeeeeh mbavu zangu, ni kama vile ananuka mdomo ikifika asubuhi ati au?

Ikiwa saa kumi usiku, unafanyaje?

Ila ukimzimia mtu na hakiwa hanuki..god forbid hili...basi mapenzi utamu kwa kwenda mbele kwa lolote...tabu ikiwa haufikiiii kivileeeeeeee kuna kaukweli kwenye kuepuka majambo.
 
Acha kabisa, kushare midomo asubuhi wakati wa kuamka hata kama umepiga mwsaki kabla ya kulala kwangu ni ngumu kumeza.... Dah hapana kabisa.. eti mapenzi ni uchafu? Basi mimi nauchukia sana uchafu!
 
Back
Top Bottom