Denda asubuhi na boyfriend wangu

Denda asubuhi na boyfriend wangu

Haina tatizo mtani madamu moyo wako umeridhia, mimi msemo wa "mapenzi ni uchafu" sitaki hata kuuskia, kisa cha kuanza kutapika ni nini? to make somebody happy? Apige kwanza mswaki aoge then nitamsababishia hiyo "happy" anayoitaka.
Yani unatapikaje kwa mtu unayempenda? Tena mchana ndio mda mbaya, wengi baada ya breakfast au lunch hatu brush wala ku floss, huoni unakimbia kivuli tu..
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Mbona yeye anakutafuna maeneo hatarishi kabla hujaoga
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?

kuweni wabunifu bwana.....nunua listerine mouthwash inakuwepo pembeni chumbani na mnakuwa na kopo la kutemea baada ya kusukutuwa.
 
Poleee, jitahidini mpige mswaki usiku kabla ya kulala, pili Ww ukiamka tu wai Pk zako akileta mdomo mtumbukizie Pk mambo shwariiiii, ugomvi kuishney, mwanaume hasutwi, anapelekwa taratibuuuuuu
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Sasa wewe si ufanye siri tu,ya nini kuleta mambo ya maulimi asubuhi hapa?
 
Mwambie nini unapenda na nini upendi,kwanini ujikera siku nzima na mtu uko nae na wala si mume ni B/F ,mweleze kwa upole na am sure atakuelewa...
Ati ,huo ndio ukweli

Na pia ungemshauri aache uvivu,si anaamka tu anaenda ku brush na kumletea man wake mug of coffee na baada ya hapo wanaanza game kama kawa huku wananukia coffee.
 
Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Daaah vitu vya kawaida Sana
People wanatumia one mswaki
Fresh tyu
 
Jaman hamjastukia huu uzi wakuu neno "boyfriend" na denda kila siku asubuhi haviendan atleast ungesema Mmeo bhana we mnalala kila sku na boyfriend wako ila wabongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh.... Kwa staili hiyo lazma siku yako iharibike... Mi pia nilikuwa mtu wa kinyaa tangu zamani.. Ila nikajifunza kumhandle my man. Coz nampenda i would have done whatever ila sio kumwambia live like '' sipend morning glory kabla hatujaswaki'' nilikuwa nashindwa hata kushirkiki nae vizuri akiwa ametoka from hustles and all that... Nilikuwa nawaza majasho..+ ule uchovu nakuwa kama sienjoy vile.
Instead nkaanzisha routine ya kuoga wote. So imekuwa tabia.. Yan hata nikichelewa home nakuta ananisubir... Ila kwa boyfriend ni ngumu.
 
Ati ,huo ndio ukweli

Na pia ungemshauri aache uvivu,si anaamka tu anaenda ku brush na kumletea man wake mug of coffee na baada ya hapo wanaanza game kama kawa huku wananukia coffee.
weueweee take Ten sikupi five ndogo,wanawake wa sikuizi wachache sana wanaweza kuamka asubuhi na kumuacha mumewe au mpenzi wake ka lala yeye akatengeneze Coffee ,wanashindwa kuelewa kua viji mambo vidogo dogo ndio vina point kubwa..
 
Back
Top Bottom