Wahi kuamka wakati amelala upige mswako na akiamka tu akute mswaki wake unamsubiri
Hamuendagi kazini?
Kiafya tunashauri upige mswaki usiku kabla ya kulala, hapo hata ukilamba asubuhi hakuna bakteria wabaya! Jitahidi kwa hiloIla nashindwa kuvumilia
Huo uchokozi sasaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na kweli...hata majina tumeiga.
Eti mtu, Mtanzania anaitwa Elizabeth Michael....ushawahi kuona M-Denmark anaitwa Nyangwende Kyendesya?
watu tunazama chumvini wakati wa bleed
Hamuendagi kazini?
Sijawahi kuona na haitakaa itokee, kwa namna flan naona wazungu huwa wanatuona mazuzu sana ila hawasemi tu. Bila wao sisi tungeishi kama manyani.Na kweli...hata majina tumeiga.
Eti mtu, Mtanzania anaitwa Elizabeth Michael....ushawahi kuona M-Denmark anaitwa Nyangwende Kyendesya?
HaterGet outta here...
Acha kabisa, kushare midomo asubuhi wakati wa kuamka hata kama umepiga mwsaki kabla ya kulala kwangu ni ngumu kumeza.... Dah hapana kabisa.. eti mapenzi ni uchafu? Basi mimi nauchukia sana uchafu!
Hater
Ngosha we sio muumini wa denda?Kweli mapenzi ni uchafu!
Halafu, hivi denda ni utamaduni wa Mwafrika [whatever that is] kweli?
Au ndo mambo ya kuiga Wazungu...
Ndo wamemaliza chuo hawajapata kazi ya kuajiriwa hivyo ni kupigana miti kwa kwenda mbele![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hamuendagi kazini?