mpuko
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 662
- 553
Walimwengu na ulimwengu na malimwengu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bf ama mume unalala naye kila siku anapangusa asubuhi kwikwikwi
Walimwengu na ulimwengu na malimwengu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bf ama mume unalala naye kila siku anapangusa asubuhi kwikwikwi
Teh, haitakuwa morning glory tena.Hakikisheni mnapiga mswaki vizuri kabla ya kulala, au muamke mpige mswaki ndo mlete hiyo "morning glory"...
Hilo si swala la kumwambia tu, tukaswaki kwanza ndio turudi kuendelea na mengine...mapenzi ni kuzungumza sio ubabe wala kulalamika...Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Kama unashindwa kuvumilia basi njoo kwangu wala hutapata tena hizo karaha baby.Ila nashindwa kuvumilia
hata mimi nimejiuliza asee hivi ashajibu ama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bf ama mume unalala naye kila siku anapangusa asubuhi kwikwikwi
Inipite tu mtani wangu, ile kitu ni starehe, ikishakuwa na karaha flani inageuka kuwa karaha.Teh, haitakuwa morning glory tena.
Hamuendagi kazini?
HahahahaWatu wanazama chumvini saa11 alfajiri iwe kulambana ndimi.
Njoo tuunde chama chetuDenda la asubuhi hata Mie limenishinda jamani
Lakini "kuzamiwa" huoni karaha wala kinyaa..teh mtani bwana!!Inipite tu mtani wangu, ile kitu ni starehe, ikishakuwa na karaha flani inageuka kuwa karaha.
Inawezekana pia, binadamu tumetofautiana sana mtani.Watu wanazama chumvini saa11 alfajiri iwe kulambana ndimi.
Hivi vitu vina ukakasi sana mtani wangu..Lakini "kuzamiwa" huoni karaha wala kinyaa..teh mtani bwana!!