Demu ninayempenda hanitaki ila rafiki yake ananipenda balaaa!

Charlez kanumba

Senior Member
Nov 2, 2024
187
501
Habar wana jf.

Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri haswaa!, tulianza kuwa kama marafiki, it means mimi Eliza & grace, tulizoeana kwa kipindi cha miezi kadhaa na tukawa mabest tulio shibana kiasi mpaka cha kwenda kupata dinner & lunch tukiwa pamoja, urafiki wetu ulizidi kushamili miongoni mwetu na mbegu ya upendo wangu kwa Eliza ilizidi ku0ta na kuchanua ndani ya m0yo wangu, ndipo 0ne day nikajitutumua mimi kama mwanaume nikamwambia ukweli Eliza kuwa nampenda!

Cha ajabu Eliza alikataa kabisa ombi langu, nikabembeleza vya kutosha lakini wapi.! Juhudi zangu ziligonga mwamba, ila sikukata tamaa, ikabidi nimwambie grace ajaribu kuzungumza na Eliza 7bu yeye ni rafiki yake kipenzi wenda atamuelewa, ila wapi.! Juhudi zikagonga mwamba, ila sijakata tamaa mpaka hivi leo nimekuwa nikibembeleza penzi, na wakati mwingine tunakuwa wote watatu(3), ila Eliza anajizima data kabisa kama vile haelewi, ila grace muda mwingi anakuwa akicheka na kunitania kwamba " shem usijali Eliza atakubali tu kuwa na subira"

Sasa leo nimeamua kuwatoa outing wote Eliza na grace, baada ya outing Eliza akaingia ndani ya gari yake na kuondoka bila hata kunijali, basi nikabaki mimi na grace, na me nikaamua kumuaga grace ili kila kila mmoja aondoke, basi nikaingia ndani ya gari yangu lakini ile ghafla nafika nyumbani kwangu nasikia sauti ikiniita... " James"" James""",sio jina halisi.

ile nageuka nyuma namuona grace " nikamuuliza mbona upo nyumbani kwangu tena kuna nini?".. hakujibu... ila
Ghafla alinikumbatia na kisha akaniambia...

" James usijali, najua ni jinsi gani unampenda eliza, lakini kwanini upoteze muda wako kwa mtu asiye kupenda hali ya kuwa mtu anaye kupenda kwa dhati yupo" akanishika mikono then akanibusu.. kisha akanambia "" James think twice"........Sasa nipo njia panda je niruke na huyu rafiki yake ama niendelee kubembeleza penzi na ni kweli huyu rafiki yake ananipenda long time maana akiwa na mimi muda wote anatabasamu hata body language zake zina indicate reality na pisikali balaaa ila hajamzid Eliza.
 
mpende akupendaye....utanishukuru baadae
 
Pole sana, usikulize Moyo na pia tumia AKILI kabla ya kubonyeza button.
 
Story za movie za zamani hizi kwanini una post humu
 
Kamba
 
Attachments

  • 20230929_100932.jpg
    20230929_100932.jpg
    27.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom