Demu kama huyu nimfanyaje

Demu kama huyu nimfanyaje

Hawa vijana wavivu sana kufikiria hivi mtu anaweza kuzaliwa hadi anakufa hajawah kuwa hata n gar we mmekaa mwaka ujamtanua mapaja unakuja kuandika hapa ujawah hata sema km umewah mlipia kodi anapokaa kuwa mwanaume kidogo huyo mtoto huji onja kwa ubahili wako iyo sim yake anayotumia techno hii xmax mpe six edge plus km hutopewa mchana kweupe
 
Furaha yangu huzidi dada wa miaka 25 akiwa anambwela mbwela hivi nacheka tena muhudumu leta black lebel niitie n mtu wa chakula
 
na ukichuna aafu akakutafuta na samahani kibao na wewe unamkumbalia hivi hivi....kua na msimamo mkuu unachokihitaji upewe otherwise utabaki kutamani tu
 
Nimekuwa nae katika mahusiano almost mwaka sasa kusema ukwel uyu demu ananipenda sana na pia mimi nampenda shida ambayo anayo hataki kabisa kijigi na mimi nimesumbuana nae mda mrefu sana ila leo amenitamkia wazi kuwa
dec48e96e267fb5b9c08612c4724c27d.jpg

Halafu kinachonishangaza nikiamua kuuchuna kama wiki hivi simtafuti huwa ananisumbua sana sorry samahani zinakuwa nying na vizawadi vya hapa na pale haviishi
Wanawake tunafanana [emoji23] [emoji23] kitu kidogo tu hapo kimenifanya nigundue hiyo msg siyo yangu
 
Nimekuwa nae katika mahusiano almost mwaka sasa kusema ukwel uyu demu ananipenda sana na pia mimi nampenda shida ambayo anayo hataki kabisa kijigi na mimi nimesumbuana nae mda mrefu sana ila leo amenitamkia wazi kuwa
dec48e96e267fb5b9c08612c4724c27d.jpg

Halafu kinachonishangaza nikiamua kuuchuna kama wiki hivi simtafuti huwa ananisumbua sana sorry samahani zinakuwa nying na vizawadi vya hapa na pale haviishi
Mkaribishe vizuri,tumia nguvu piga pumbu.Baada ya hapo atakuwa anaachia tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom