Demu kama huyu nimfanyaje

Demu kama huyu nimfanyaje

Ndo maana hakupi mzigo...ili upewe, lazima uahidi vitu vilivyopo nje ya uwezowako...ndo maana huwa tunasema " I will cross the ocean for you", au "Nitakununulia treni ila reli utajenga mwenyewe" etc
Yeah, umwambie nakukabidhi rasmi bahari ya hindi kuanzia leo.. ha ha
 
Kikwete aliwahi kutuambia "Ukitaka kula na wewe kubali kulikwa"

Tigo nao wakatukumbusha kwamba "Jaza Ujazwe"

Chagua moja hapo mkuu yawezekana ukaja na mrejesho mzuri.
 
Mwaka mzima umeshindwa kumshawishi ukamgegeda [emoji15] [emoji15] [emoji15]. Kuwa sharp kijana usiwe kama nyuki wa mashineni asiye na madhara.
 
Hiyo inamaana hataki kusex na wewe ila anasex na mwingine, PERIOD.
 
Sijakuelewa wawil kivp
Yaan hakuna madem wengine hapo mtaani, uwatie ili aone wivu anaetakiwa kulalamika kuhusu madem alikua adam kwa sababu aliumbiwa hawa 2 lakini sisi tuna kina maria, juliana, mecy, mama king'amuzi, mama kisimbuzi ushindwe wew tu sasa uyo kakubania doch mtongoze ata rafikiye
 
Umenikumbusha yan huyu manz ana wivu balaa akinikuta na demu yeyote lazma atamuangalia vibaya
 
So nawaza ngono nimeomba ushauri hv unaweza kuwa na uhusiano na mtu mwaka alaf hamjafanya chochote
Inawezekana mkuu. Kwani wewe ulifwata nini kwake kipindi unamtongoza? Kama ni papuchi ondoka nenda kwa wengine watakaokupa lakini kama kuna kingine cha thamani ulikifwata kwake zaidi ya papuchi basi heshimu maamuzi yake mpk mtakapofikia stage inayoruhusu mfanye sex.
 
Inawezekana mkuu. Kwani wewe ulifwata nini kwake kipindi unamtongoza? Kama ni papuchi ondoka nenda kwa wengine watakaokupa lakini kama kuna kingine cha thamani ulikifwata kwake zaidi ya papuchi basi heshimu maamuzi yake mpk mtakapofikia stage inayoruhusu mfanye sex.
Uyu manz sikuwah mtongoza na wala yy akunitongoza tulijkuta tuko in love
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom