Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,610
Ndio maana mnasumbuana. Hamkuweka msingi wa uhusiano wenu kipindi mnaanza. Mnaumizana vichwa tuu na wala hamna malengo yoyote kwenye huo uhusiano mkoo tuu mnasaidia kusogeza umri wa ujana.Uyu manz sikuwah mtongoza na wala yy akunitongoza tulijkuta tuko in love
Kaa chini tafakari unachokitaka katika maisha yako ya mahusiano halafu chukua hatua kabla hujaja kuanzisha uzi mwingine wa kulia kwamba umeumizwa moyo