Demu kama huyu nimfanyaje

Demu kama huyu nimfanyaje

Hata mm nahic uyu atakuwa ana jamaa anapiga maana nikimchunia kama wiki atakuja kwa bi mkubwa kulalamika kuwq nimemchunia
Jaribu kumtoa akilini tu. Focus kwenye kutafuta demu mwingine.. Coz hapo mwisho wa siku atakulea maumivu balaa. Utakuja gundua ana mtu hlf akakutaa hadharani. Utajipa presha bure. We mpotezee huyo tafuta mwingine ili kuepuka kuja kujutia kwa kupotezewa muda na kulizwa
 
Kumpotezea nampotezea ila ananifatafata sana alaf kingne amemzoea bi mkubwa mara kwa mara huwa anakuja msalimia tena anakujaga na vizawad vya hapa na pale
 
Grid ya taifa haina umeme usiku joto kali we bado unawaza ngono
 
Kumpotezea nampotezea ila ananifatafata sana alaf kingne amemzoea bi mkubwa mara kwa mara huwa anakuja msalimia tena anakujaga na vizawad vya hapa na pale
Ww usitetereke km anajuana na bi mkubwa. Mpotezee tu. Kuwa na misimamo
 
Labda k inatema anaogopa ukijua utakula alafu utasepa
 
Mkuu umewahi kumuuliza kama amewahi kuwa na mwanaume na akakujibu hapana? Kama ndivyo basi kuna mtu anaitumia na anajua we unaamini yeye ni bikira so in that case sahau kuhusu utelezi piga puli tu utamu unao mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom