Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,278
Reaction score
5,212
No reform no election

Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia

Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu

Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge

1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣

2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..

3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza

4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine

Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢

Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko

Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake

Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
 
Attachments

  • FD60CD1F-DA8F-4A84-9514-2AE3B7BC5774.jpeg
    FD60CD1F-DA8F-4A84-9514-2AE3B7BC5774.jpeg
    89 KB · Views: 46
Wewe ndiyo wale wanaopenda kuchat muda wote na kuambiwa "Bebi kula Sasa utapata vidonda vya Tumbo!"

Huyo ndiyo Mume wako, hutaki nenda Kwa wale wanaokua na muda wa kukutumia messages saa 24, kuongea na Simu masaa 2, ila ndiyo hakuna Ndoa.

Chagua.
🤨🤨 sasa sometimes we miss that.. ni mgumu kuongea huyu mkaka sijui ni mzito sijui kujifanya tu
 
No reform no election

Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia

Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu

Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge

1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣

2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..

3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza

4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine

Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢

Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko

Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake

Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Wewe unaonekana kiherehere mwache huyo ngosha utamtesa bure
 
Vipi anapokutomba na kumwagia ndani, huwa anakufikisha kileleni?
 
Unapenda mwanaume atumie muda mwingi kuchat badala afanye kazi na kufikiria future yenu.
Mwanaume wa mameseji meeengi kwa siku hanaga uanaume ndani yake mdogo wangu, kama mwanaume anakujali na hana mambo mengi ishi naye, (mzingatie) mwanaume anapenda akusalimie asubuhi na jioni tu pale mnapotaka kulala.
Messages, calls, salam nyingi, stories zingi zinakera kama hujui.
 
Ni kweli ila inapendeza mkawa na kaurafiki ndani yenu
 
Back
Top Bottom