figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,516
- 61,940
<br />nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
<br />
unamwambia mwenzio mbaya kwani wewe mzuri??nakutani.
ukweli ni kwmba wasichana wabaya ni vihekehele,wanalinga na wanamdomo mchafu lakini wanapata marafiki wazuri.siwapendi.mia