Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

hahahahah mpe muda bhana kidogo usikilizie
miss neddy sijui kanisoma!! Maana nimeshangaa tu naona sms eti oohooo tayari nimekutumia....mmh kidogo nimwambie ungejua nilikua nspata darasa kwa ajili yako ungelia....
Hahahaaa sasa moyo mweupeeer
 
Last edited by a moderator:
Hili limewapata wengi, kuchelewa tu kutimiza ahadi anakublock na anakwambia hahitaji kukuona tena...nini dawa ya huyo?

Hahahaha. hehehe, aisee, una bahati yaani , sijui. haya bwana we endelea kusubiri aku unblock.
 
Daaah,
Utakuwa umefanya la maana sana
kamtie kisukari asogee mbele,

Nyumba nini King'asti si unaona hata yule demu wake kaiacha;
Ila angalia usiondoke kwa Paw manake hata mie nammezea mate;
shauri zako ujue.

Tena ulete rambirambi hapa, usitutanie. Na nna mpango wa kujitongozesha kwa huyo mgane aliefiwa hawara, manake Mamndenyi alisusa nyumba na kila kitu akaondoka na rambo tu. Naenda kumtia stress hadi afe, afu namuachia mamndenyi nyumba yake.

yaani msiba walitunyima, arubaini tumeipaniaje sasa? Rambirambi ulete na sungoggles babu. Hawara unamsusiaje nyumba Mamndenyi? Ila huyo marehemu hata akhera ataenda kuwa small house
 
Last edited by a moderator:
Asprin vipi kuhusu rambirambi
au na wewe ni sawa na yule mbaba mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
Ahadi ya kumpa kitu ama unaongelea miadi ya kuonana? Usikubali kuwa manipulated, na umsome mwenzio umjue tabia yake. Na wewe kama huna hakika unaahidi ili iweje? Kama umekwama si ungemueleza tu. Ila kama Yuko obsessed na vitu namna hiyo hafai kuwa mke huyo
Kumbe bado kuna last resort kama wewe....mi nilifikiri mlishaisha!
 
Papa Mopao
Hivi ni kwanini asikublock kama hautimizi ahadi zako kwake;
Yaani unataka ufunuliwe tu ule utoe ahadi halafu usepe;

Hata mie na uzee huu pia nakublock vizuri tu.

Hili limewapata wengi, kuchelewa tu kutimiza ahadi anakublock na anakwambia hahitaji kukuona tena...nini dawa ya huyo?
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani jamani. Ndo mpaka um-mention ili nifumaniwe? Heaven on Earth alikuwa anachakachua ili nimuoe mpaka nlipokuja kugundua ni nyumba ndogo ya Mod mmoja hivi anagawa ban kama padre anavyogawa sakramenti. Ili kunusuru uhai wangu mahaba yangu yote yakakudondokea mazima. Sasa unavonipiga za uso mi nabhata ushungu sana bhalai. Rudisha moyo wako, vumilia maisha yangu.

Sina raha sina raha, nakonda kwa mawazo.

hahaa ndo nini kuja kunitangaza huku........ mbona we una nyumba ndogo kibao mie niko kimya
 
King'asti maisha ni kujiachia tu, upe moyo wako kitu unapenda;
Huu msiba wa mke mwenzangu nalia na mengi hasa nikikumbuka zile
kanga za mafumbo alizonivalia halafu leo hayupo tena,
kweli ninashangaa sana.

hehehe, mie roho yangu mbichiiii, nzuriii na haina clot hata moja kaka. Ila ndo huwa sifugi ujinga aisee. Mie sina stress hata moja, na nikiwa nayo haivuki nusu saa. Huyo mwenye kuniblock mbona angesubiri sana. Yaani anajikuta ameondoa blacklist afu ndo hapigiwi wala sms haziingii hehehe.

na bado tunaenda kwenye mdundiko na Mamndenyi kusherehekea kifo cha hawara wa mumewe. I can be really evil, i knowww��
 
Last edited by a moderator:
hahahaha OS punguza ubabe bhana tukishakuwa wapenzi kuna siri tena kati yetu mimi ni ubavu wako kuna vya kuficha
mimi sio mtu baki napaswa kujua kila kitu hujatimiza ahadi nipe sababu kukaa unanipa sababu eti ohooo siri ya uvungu big no kama huniamini nakublock

Jiandae mapema kujua yako ya mumeo na watoto wenu mengine yanaweza kabisa kupita juu kwa juu much as hayaathiri ratiba wala.rasilimali zako na.mumeo!!!!!!
 
Mkuu kesi dizaini hii imenitokea juzi. Nimechelewa kutekeleza ahadi akaniblock. Nilipotekeleza ahadi ndio akanitoa kwenye blacklist yake. Nimepanga kumwaga hivi karibuni. Dawa ni kumuacha ukigundua hilo.

Ku-mblock mtu inajenga picha ya dharau
 
Mimi nishaona bana hii dunia wasichana wengi sana kuliko sisi wanaume hivyo ukileta zako natafuta mwingine mambo ya kupeana presha kama umeumbwa kwa dhahabu hiyo haipo
 
Hili limewapata wengi, kuchelewa tu kutimiza ahadi anakublock na anakwambia hahitaji kukuona tena...nini dawa ya huyo?
unatakiwa nawe unamuweka kwenye black list ili siku naye akifungua akikucheki ili ujirudi anakuta naye amekuwa-blocked!

madem saa ingine anakuwa na boya wake mwingine na labda jamaa kapanga aje awe naye siku kama tatu hivi, sasa atafanyaje ili usiwabuguzi?

madem wanajua uwezo wako kuliko wewe unavyojijua, kwahiyo anakupiga mzinga mkubwa kipindi ambacho ni kigumu na kama ni mwisho wa mwezi basi anakupiga mkubwa zaidi ambao anajua utashindwa au kuchelewesha! Anaku-block anavinjari na boya wake akimaliza anakuondoa kwenye black list anajua utamtafuta halafu atakupa reason na utaomba msamaha na utatuma, Game Over!

Akili kumkichwa.....natafuta njia ya kulipiza (na njia ni kumtumia halafu nawe unamtafutia timing unamuacha kweupe na 1.5kg ya bonge la soo mpaka auze utu) nikishindwa nami nakublock nasonga mbele!
 
Back
Top Bottom