Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

hahahahahaha unatia hadi huruma babu lakini umechelewa my dear mi mke wa mtu na kuchepuka siwezi

Tuonane paradiso, umenitia kitanzi kwa mikono yako. Afu mwambie the so called mmeo... simpendi, simpendi na simpendi tena. Ana roho mbaya kama Hitler, vizuri anajisevia yeye tu.
 
Tena ulete rambirambi hapa, usitutanie. Na nna mpango wa kujitongozesha kwa huyo mgane aliefiwa hawara, manake Mamndenyi alisusa nyumba na kila kitu akaondoka na rambo tu. Naenda kumtia stress hadi afe, afu namuachia mamndenyi nyumba yake.

yaani msiba walitunyima, arubaini tumeipaniaje sasa? Rambirambi ulete na sungoggles babu. Hawara unamsusiaje nyumba Mamndenyi? Ila huyo marehemu hata akhera ataenda kuwa small house
We bhange ya leo umeipatia wapi? Mamndenyi kafiwa na nani? Keimamae walah, mi mecheka mpk mdomo umegoma kushirikiana na koromeo
 
Last edited by a moderator:
Na wewe mtoto wa kike upunguze maswali, utakosa mume uwe kama lara 1, ujisifie kuchuna 1% wakati ungeweza kula 99%. Maswali ya nini? Ukiambiwa mipango imebana mjibu pole mpenzi, Mungu atafungua njia tu. Hata akirudi usiku wa manane muambie pole na kazi mpenzi, nilikumiss lakini. Kula 99% ya mtoto wa mwanamke mwenzio yahitaji akili ya ziada atii!

hahahahahah yaani hata kama ana kosa unampa pole wewe aiseeeeeee si majanga haya mume namtaka na kujifanya zombie no akikosea nataka maelezo yakinifu samaki mkunje angali hajaiva
 
Last edited by a moderator:
Mie ndo nawapa mbinu sasa za kuingia ndani jumla jumla. Mtu anaahidi unasema asanye in advance. Akishindwa usimkumbushe, akijisemelesha muambie poleee babe, yatanyoroka tu. Hadi ataona aibu. Ila ukiwa mkali umempa sababu. Kwani silaha ya nyumba ndogo ni nini, si wanajidai hawana kelele. Mie ndio sina hata button ya sauti!
We muache tu huyu King'asti tutamwambia Paw awe anamzingua.
Mi hapa nna hasira mtu kajiongelesha mwenyewe halafu ananizungua... sijui nimblock? Unanishauri nn miss neddy ?
 
Last edited by a moderator:
Hata akipiga bao anaambiwa poleee baba. Chezeiya wewe! Basi stress za kodi zitakuhusu hadi ukome hehehe. Kaka wa watu mamake anatembea km 7 kwenda kanisani, mie kanipa mkoko nakula kiyoyozi. Ntampa pole hata mia, hadi aone aibu (pole zingine anatakiwa ajue tu ni za kumchora hehehe)
hahahahahah yaani hata kama ana kosa unampa pole wewe aiseeeeeee si majanga haya mume namtaka na kujifanya zombie no akikosea nataka maelezo yakinifu samaki mkunje angali hajaiva
 
Tuonane paradiso, umenitia kitanzi kwa mikono yako. Afu mwambie the so called mmeo... simpendi, simpendi na simpendi tena. Ana roho mbaya kama Hitler, vizuri anajisevia yeye tu.
hahahahahahahah babu unatafuta ban eeeeeh hujui ye ndo jf owner sambaza upendo bhana
 
Mie ndo nawapa mbinu sasa za kuingia ndani jumla jumla. Mtu anaahidi unasema asanye in advance. Akishindwa usimkumbushe, akijisemelesha muambie poleee babe, yatanyoroka tu. Hadi ataona aibu. Ila ukiwa mkali umempa sababu. Kwani silaha ya nyumba ndogo ni nini, si wanajidai hawana kelele. Mie ndio sina hata button ya sauti!

Hahahaahas.... unadhani nnamkumbusha basi... kuomba kwenyewe tu tabu hata Kama nahitaji sembuse kujisemesha kwa kitu ambacho so changu...
Mi namwangalia tu anajishtukia mwenyewe...
 
Basi stress za kodi zitakuhusu hadi ukome hehehe. Kaka wa watu mamake anatembea km 7 kwenda kanisani, mie kanipa mkoko nakula kiyoyozi. Ntampa pole hata mia, hadi aone aibu (pole zingine anatakiwa ajue tu ni za kumchora hehehe)

hahahaha unang'ata na kupuliza eeeh sasa hiyo pole ya bao inatamkwaje nipe maujanja
mimi nilipe kodi na kina Asprin wapo
 
Last edited by a moderator:
Hata akipiga bao anaambiwa poleee baba. Chezeiya wewe! Basi stress za kodi zitakuhusu hadi ukome hehehe. Kaka wa watu mamake anatembea km 7 kwenda kanisani, mie kanipa mkoko nakula kiyoyozi. Ntampa pole hata mia, hadi aone aibu (pole zingine anatakiwa ajue tu ni za kumchora hehehe)

Hahahaahaaa...nimekumbuka kikatuni kimoja hivi.. mdada alikuwa na mtu wake eti jamaa aka..mba mdada akamwambia pole baby...lol ilinichekesha sana nikasema mmmh kazi ipo
 
Tena ulete rambirambi hapa, usitutanie. Na nna mpango wa kujitongozesha kwa huyo mgane aliefiwa hawara, manake Mamndenyi alisusa nyumba na kila kitu akaondoka na rambo tu. Naenda kumtia stress hadi afe, afu namuachia mamndenyi nyumba yake.

yaani msiba walitunyima, arubaini tumeipaniaje sasa? Rambirambi ulete na sungoggles babu. Hawara unamsusiaje nyumba Mamndenyi? Ila huyo marehemu hata akhera ataenda kuwa small house

Hahaha Mamndenyi kaporwa mume, aliyempora kafa. Popote ulipo Mamndenyi kam zis wei. Huyu mama Matesha kuna mjeda mmoja simwelewielewi, ni bora atangulie kabla hajanibinafsishia mali zangu nlizopewa na wakwe nizitumi nitakavyo.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha unang'ata na kupuliza eeeh we hufai
mimi nilipe kodi na kina Asprin wapo

Nikupe nyumba ya Kibamba au ya Bunju? Mrembo kughasiwa na wenye nyumba zao haikubaliki kama mchepuko.
 
Last edited by a moderator:
Nikupe nyumba ya Kibamba au ya Bunju? Mrembo kughasiwa na wenye nyumba zao haikubaliki kama mchepuko.

hahahahah hunitakii mema babu kibamba to posta hiyo ruti ina wenyewe siiwezi
 
Soma vizur dadangu mbona nimeandika akijakuniunblock:what: inamaana hata akikuunblock hawezi kukutumia text?

mtu akishakublock means hakuitahi so hata aki unblock inatakiwa wewe ndo uanze kumtafuta sio yeye
 
Back
Top Bottom