Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,437
hahaa ndo nini kuja kunitangaza huku........ mbona we una nyumba ndogo kibao mie niko kimya
Afanaleki.....
Mbwa kaingia msikitini, ngoja nisepe.
hahaa ndo nini kuja kunitangaza huku........ mbona we una nyumba ndogo kibao mie niko kimya
On the same note mie nilitaka kuuliza hao wanaowaongelea ni mabinti wa shule/chuo au??...lakini kwavile katumia neno "DEMU" so tuchukulie ni wavulana. Yaani kabisaaa naku-block then baadae naku-unblock! Hio michezo ya hide and seek ishapitwa na wakati
hapo sawa ila sasa usimchelewesheMkuu kesi dizaini hii imenitokea juzi. Nimechelewa kutekeleza ahadi akaniblock. Nilipotekeleza ahadi ndio akanitoa kwenye blacklist yake. Nimepanga kumwaga hivi karibuni. Dawa ni kumuacha ukigundua hilo.
Bahati?? bahati gani wakati keshakublock na kasema hakuhitaji tena???Hahahaha. hehehe, aisee, una bahati yaani , sijui. haya bwana we endelea kusubiri aku unblock.
Huoni kwamba utakuwa unapoteza hela tu...??
Hahahahahaha! Ukiniblock wala sitajenga chuki kwako, majukumu yakizidi nifanyeje?Papa MopaoHivi ni kwanini asikublock kama hautimizi ahadi zako kwake;Yaani unataka ufunuliwe tu ule utoe ahadi halafu usepe;Hata mie na uzee huu pia nakublock vizuri tu.
Ha! ha! ha! Fundisho tosha:A S thumbs_up:Yaani kama usemavyo yaweza kuwa umri mdogo sana of which hatakiwi kuwa hata na mpenzi kwa style hii!!!!!
Kama ni mtu mzima anataka ushauri kwa kesi hii unamuita mgahawani mnaagiza unakula kidogo halafu unatimua kabisaaaa alipe bill na ushauri kakosa atajiongeza mbele ya safari huko!!!!
Orayt then, niPM nikakukabidhi ya Bunju. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hakikisha unakuja without.
halafu eti wametulia wanatuangalia tunajadili nini! aah! habari ndo hyo,na tutawaweka blacklist mpaka mjue kutimiza ahadi zenu
Jibu litategemea uko tayari kulipa mahari sh ngapi. Manake nimewekezwa na nikajiwekeza. Hebu taja dau kwanza
Nielekeze jinsi ya kumblock mtu kwenye haka ka siemens kangu. kuna kibaamedi kinanipigia mpaka saa saba usiku eti kinanikumbushia ahadi yetu ya kulipa bill.
Jiandae mapema kujua yako ya mumeo na watoto wenu mengine yanaweza kabisa kupita juu kwa juu much as hayaathiri ratiba wala.rasilimali zako na.mumeo!!!!!!
miss neddy sijui kanisoma!! Maana nimeshangaa tu naona sms eti oohooo tayari nimekutumia....mmh kidogo nimwambie ungejua nilikua nspata darasa kwa ajili yako ungelia....
Hahahaaa sasa moyo mweupeeer
mbona najadiliwa hapa kuna nini...........
nilikumiss tu mamii upo???
ukimblock ukija kumfungulia angalau hajisahau.
Umeyataka mwenyewe. Afu uje unipakazie nlikuwa nakutongoza....