Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

M mtu akiniblock nageuza kisogo nasepa akiniunblock hata akinitumia text sinahabari nayo maisha yenyewe mafupi kupeana stress sio mpango
 
Muwacheeee!
nilimjibu yule aliekuwa anamlilia kakake aliekimbilia kubeba boksi na urithi ukaniwashia. Acha mwenzio awehuke. Mie tu nisipopokea simu ya paw kutwa nzima anaweza akazima server ya jf hapa. Chezeiya makopa💕💖💗💞💚💛💘

Asingekuwa huyu Paw ajulikanaye unless otherwise!!!!!
Yule alikuwa anaumia kwa kupoteza his only brother,damu yake pekee aijuayo kutoka tumbo la marehemu mama yao jamani,hakuwa a showy-wanna be empty skulled brat!!!!!!

Wewe uliyemwambia yule dada asilee watoto wakubwa ukatoa mfano wa sissie uliyemwambia arudi mjengoni kwa mbovu akakae bure unafaa kwa lipi roho kavu sis of mine!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtu ana ahidi sababu ana nia sasa mvurugiko wa maisha unapoingia vipaumbele vinabadilika hivyo sasa mtu aache kumtumia mamake Calcium Sandoz alizoandikiwa punde ati akuletee hela ya nguo ya kitchen party!!!!!!!

Au mamake kateguka shingo kwa kubeba kuni anatakiwa collar wewe unaleta shobo za kukomaa na mambo ya kupendezesha mrembo!!!!!!

Ukiwa hivi huolewi maisha haya na mwanaume anayejitambua au laaa be ready for pretenders!!!!!

kama anatoa sababu za msingi kwanini ahadi haijatimizwa hapo hata mimi roho yangu kwaaaatu lakini mwingine anakuona zombie sababu za maana hakupi na ahadi haijatimizwa sasa hapo unasoma alama za nyakati ya nini ujipe msongo unamweka blacklist tu
 
Inategemea sababu nyingine ni siri na.aibu ya familia sasa unataka uambiwe kila lililo uvungu wa vitanda vya watu?????!!!!!!!

Babangu ana mtoto wa nje aliniambia nimsaidie ada we inakuhusu nini kujua hili????!!
Mipango imegoma , full stop!!!!!!!
 
Kabla sijakublock najitia kitanzi. Mtoto mchoyo kama mtetea wa Singida!! Mi nakasirikaga sana asee.

hahahahahaha babu tatizo hueleweki akija Heaven on Earth unamuona pepo ndogo hata uwepo wangu unakumbukaga????
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya moto ni moto...

tatizo lenu mnaweka ahadi nyingi huku mkijua fika uwezo huo hamna,.ooh baby ntakununulia verrosa mwisho wa mwezi eh,unikumbushe mpenzi eh!.mara ntafanya vile!.wakati hata nokia touch ni tatizo!!.kwani ukiwa mkweli tu na kama umependwa kweli utakufa?!..mtu hana tamaa unamtia mwenyewe halafu unalalamika!!
 
Inategemea sababu nyingine ni siri na.aibu ya familia sasa unataka uambiwe kila lililo uvungu wa vitanda vya watu?????!!!!!!!

Babangu ana mtoto wa nje aliniambia nimsaidie ada we inakuhusu nini kujua hili????!!t
Mipango imegoma , full stop!!!!!!!

hahahaha OS punguza ubabe bhana tukishakuwa wapenzi kuna siri tena kati yetu mimi ni ubavu wako kuna vya kuficha
mimi sio mtu baki napaswa kujua kila kitu hujatimiza ahadi nipe sababu kukaa unanipa sababu eti ohooo siri ya uvungu big no kama huniamini nakublock
 
hahahahahaha babu tatizo hueleweki akija Heaven on Earth unamuona pepo ndogo hata uwepo wangu unakumbukaga????

Jamani jamani jamani. Ndo mpaka um-mention ili nifumaniwe? Heaven on Earth alikuwa anachakachua ili nimuoe mpaka nlipokuja kugundua ni nyumba ndogo ya Mod mmoja hivi anagawa ban kama padre anavyogawa sakramenti. Ili kunusuru uhai wangu mahaba yangu yote yakakudondokea mazima. Sasa unavonipiga za uso mi nabhata ushungu sana bhalai. Rudisha moyo wako, vumilia maisha yangu.

Sina raha sina raha, nakonda kwa mawazo.
 
Last edited by a moderator:
M mtu akiniblock nageuza kisogo nasepa akiniunblock hata akinitumia text sinahabari nayo maisha yenyewe mafupi kupeana stress sio mpango

unaota eeeh mtu akublock afu akutumie text uliona wapi???
 
Asingekuwa huyu Paw ajulikanaye unless otherwise!!!!!
Yule alikuwa anaumia kwa kupoteza his only brother,damu yake pekee aijuayo kutoka tumbo la marehemu mama yao jamani,hakuwa a showy-wanna be empty skulled brat!!!!!!

Wewe uliyemwambia yule dada asilee watoto wakubwa ukatoa mfano wa sissie uliyemwambia arudi mjengoni kwa mbovu akakae bure unafaa kwa lipi roho kavu sis of mine!!!!!!

hehehe, mie roho yangu mbichiiii, nzuriii na haina clot hata moja kaka. Ila ndo huwa sifugi ujinga aisee. Mie sina stress hata moja, na nikiwa nayo haivuki nusu saa. Huyo mwenye kuniblock mbona angesubiri sana. Yaani anajikuta ameondoa blacklist afu ndo hapigiwi wala sms haziingii hehehe.

na bado tunaenda kwenye mdundiko na Mamndenyi kusherehekea kifo cha hawara wa mumewe. I can be really evil, i knowww��
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani jamani. Ndo mpaka um-mention ili nifumaniwe? Heaven on Earth alikuwa anachakachua ili nimuoe mpaka nlipokuja kugundua ni nyumba ndogo ya Mod mmoja hivi anagawa ban kama padre anavyogawa sakramenti. Ili kunusuru uhai wangu mahaba yangu yote yakakudondokea mazima. Sasa unavonipiga za uso mi nabhata ushungu sana bhalai. Rudisha moyo wako, vumilia maisha yangu.

Sina raha sina raha, nakonda kwa mawazo.

hahahahahaha unatia hadi huruma babu lakini umechelewa my dear mi mke wa mtu na kuchepuka siwezi
 
Last edited by a moderator:
haliui sawa lakini linavunja moyo, linavuruga mahusiano, linapunguza sifa ya uaminifu
afu mwanaume aisetimiza ahadi ni type ya kina yahaya

Kweli kabisa miss neddy mtu anakuahidi nitafanya kesho anakuja kutimiza baada ya mwezi inaboa sana.
 
Last edited by a moderator:
hehehe, mie roho yangu mbichiiii, nzuriii na haina clot hata moja kaka. Ila ndo huwa sifugi ujinga aisee. Mie sina stress hata moja, na nikiwa nayo haivuki nusu saa. Huyo mwenye kuniblock mbona angesubiri sana. Yaani anajikuta ameondoa blacklist afu ndo hapigiwi wala sms haziingii hehehe.

na bado tunaenda kwenye mdundiko na Mamndenyi kusherehekea kifo cha hawara wa mumewe. I can be really evil, i knowwwí-½í¸‹

We bhange ya leo umeipatia wapi? Mamndenyi kafiwa na nani? Keimamae walah, mi mecheka mpk mdomo umegoma kushirikiana na koromeo
 
Last edited by a moderator:
tatizo lenu mnaweka ahadi nyingi huku mkijua fika uwezo huo hamna,.ooh baby ntakununulia verrosa mwisho wa mwezi eh,unikumbushe mpenzi eh!.mara ntafanya vile!.wakati hata nokia touch ni tatizo!!.kwani ukiwa mkweli tu na kama umependwa kweli utakufa?!..mtu hana tamaa unamtia mwenyewe halafu unalalamika!!

MTU hujamwomba pesa anakwambia oooh nitakupa kesho eeh unasubiria mawiki kadhaaa....
 
Na wewe mtoto wa kike upunguze maswali, utakosa mume uwe kama lara 1, ujisifie kuchuna 1% wakati ungeweza kula 99%. Maswali ya nini? Ukiambiwa mipango imebana mjibu pole mpenzi, Mungu atafungua njia tu. Hata akirudi usiku wa manane muambie pole na kazi mpenzi, nilikumiss lakini. Kula 99% ya mtoto wa mwanamke mwenzio yahitaji akili ya ziada atii!

Back
Top Bottom