Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Daaamn kuna wabunge wanataka siku ya baba wa taifa iingizwe kwenye katiba! kweli??? I mean seriously?
 
Na wewe mtoto wa kike upunguze maswali, utakosa mume uwe kama lara 1, ujisifie kuchuna 1% wakati ungeweza kula 99%. Maswali ya nini? Ukiambiwa mipango imebana mjibu pole mpenzi, Mungu atafungua njia tu. Hata akirudi usiku wa manane muambie pole na kazi mpenzi, nilikumiss lakini. Kula 99% ya mtoto wa mwanamke mwenzio yahitaji akili ya ziada atii!

HAHAAAAAAAA, Nakaba kote kote kwenye 99% nimooo na 1 % nimo vilevileeeeee! Kama mJi usiponinyw utanioga tu! Whats the BIG DEAL.? Its just 1% give me a break, ki 1% kumbe kitamuuu eeeh manake kinavokuyoa roho.

Maisha haya lazima ujipange kucheza LIGI zote ili ufaidi vyote peke yako tu.
 
Back
Top Bottom