Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
i miss you mpenzi ,uko wapi mbona hupatikani?
Nipo Dodoma mpenzi........
i miss you mpenzi ,uko wapi mbona hupatikani?
Unaondoka nayo??
Sasa kwa nini usi delete tu badala ya ku block!!!!!!
Aah wapi!!
Nakwambia sorry,wrong number!!
Then na delete contact.
Sitaki unipate ukinipigia!!!
hahahahahahaa babu my mume ni muraaa u know
Ila utakuwa upo disappointed sana maana hukutegemea kuulizwa "nani mwenzagu"
Maana ulidhani kuna watu wanakucare sana kumbe wala!
Mkuu kesi dizaini hii imenitokea juzi. Nimechelewa kutekeleza ahadi akaniblock. Nilipotekeleza ahadi ndio akanitoa kwenye blacklist yake. Nimepanga kumwaga hivi karibuni. Dawa ni kumuacha ukigundua hilo.
😱😱😱🙄
Unataka zawadi au real thing!!!!!?????
Hivi hujui mura wanapíga wake zao na wala si waume wenzao?
Mi nataka real thing.
Kiburi yake dharau tu Viol...................
Ilinitokea hivo mwaka juzi,ila sikujua kama anablock maana wakati huo sikustukia au kudhania atafanya hivo,basi lazima aniambie simu inazingua,yaani ye akitaka ndo ananitafuta,nilimpotezea mazima,siku ya siku nikamwambia nani mwenzangu,alikatika mazima hakunitafuta tena ila akabakia kunisumbua kwa namba mpya kunitumia sms bila kujitaja

Usionyeshe weakness kabisa kauzu zaidi ya dagaa.Raha sana kucheza na timing, alafu kuna wakati anakwambia "wewe ni mwongo huniambii chochote kama hutekelezi ahadi" na anakublock!
Mnagunduaje akikublock maana wengine huwa wanasema eti simu iliharibika