umeona eeeeh ukishaahidiwa mtu unaweka mipango yako mtoa ahadi hajui hilo
Mkuu kesi dizaini hii imenitokea juzi. Nimechelewa kutekeleza ahadi akaniblock. Nilipotekeleza ahadi ndio akanitoa kwenye blacklist yake. Nimepanga kumwaga hivi karibuni. Dawa ni kumuacha ukigundua hilo.
Asprin lile ghorofa lako la kariakoo si ungempa floor ya juu ile. Hivi ulishaweka lifti lakini?
Yaani hawajui hill kabisa...laiti wangeliingia vichwani mwetu hawa watu...
Nimeshapata mbinu ngoja nitaapply for one day..hahaha
hahahahah hunitakii mema babu kibamba to posta hiyo ruti ina wenyewe siiwezi
yaani we acha tu ndo mana tunapata hadi hasira unamtupia blacklist kwa muda
yaani we acha tu ndo mana tunapata hadi hasira unamtupia blacklist kwa muda
mtu akishakublock means hakuitahi so hata aki unblock inatakiwa wewe ndo uanze kumtafuta sio yeye
mtu akishakublock means hakuitahi so hata aki unblock inatakiwa wewe ndo uanze kumtafuta sio yeye
Sasa we nawe, huoni kama unanipandishia dau la uchunwaji. Lile ni la anko wangu.
tatizo lenu mnaweka ahadi nyingi huku mkijua fika uwezo huo hamna,.ooh baby ntakununulia verrosa mwisho wa mwezi eh,unikumbushe mpenzi eh!.mara ntafanya vile!.wakati hata nokia touch ni tatizo!!.kwani ukiwa mkweli tu na kama umependwa kweli utakufa?!..mtu hana tamaa unamtia mwenyewe halafu unalalamika!!
Jibu litategemea uko tayari kulipa mahari sh ngapi. Manake nimewekezwa na nikajiwekeza. Hebu taja dau kwanza
Dawa yao kutimiza ahadi tu na kuwapa fedha
Kwisha habar
On the same note mie nilitaka kuuliza hao wanaowaongelea ni mabinti wa shule/chuo au??...lakini kwavile katumia neno "DEMU" so tuchukulie ni wavulana. Yaani kabisaaa naku-block then baadae naku-unblock! Hio michezo ya hide and seek ishapitwa na wakatiHivi nyie wanaume wenzetu sijui wavulana wengine mkoje jamani????!!!!
Au ni umri????!!!!
Unasumbuliwaje kijuha hivyo???!!
Au Marioo unatunzwa so unahofia maisha???!!!