Unaweza ukawa sawa, lkn USA hakuna kitisho cha kuchukua fomu. Unaweza ukachukua usiungwe mkono, Jaribu hapa uone kama hukufukuzwa uanachama kama membe!Hii sio CCM pekee hata nchi mnzoita zimeendelea na ulimwengu wa kwanza wana utamamduni huo, kipindi G. Bush, Clinton, Obama wanagombea awamu ya pili wakiwa madarakani hawakupingwa ndani ya chama. Hata kichaa Trump safari hii hajapingwa kwani tayar ni mgombea pekee wa republican. Wakat Democrat wakiwa kwenye maoni wao wanamgombea wao.
Hii ina maana gani, ni kuwa kama ninyi mnampinga ndani ya chama, wananchi wanamwamini vipi?
Hata Zanzibar Dr. Shein hakupingwa mwaka 2015 alichukua fomu pekee.
Mengine ni uzushi tu na wivu wa kike.
Trump ni kichaa!?Hata kichaa Trump safari hii hajapingwa kwani tayar ni mgombea pekee wa republican.
Kuna binadamu humu wanamchukia mzee baba Kama nyoka!..Hii sio CCM pekee hata nchi mnzoita zimeendelea na ulimwengu wa kwanza wana utamamduni huo, kipindi G. Bush, Clinton, Obama wanagombea awamu ya pili wakiwa madarakani hawakupingwa ndani ya chama. Hata kichaa Trump safari hii hajapingwa kwani tayar ni mgombea pekee wa republican. Wakat Democrat wakiwa kwenye maoni wao wanamgombea wao.
Hii ina maana gani, ni kuwa kama ninyi mnampinga ndani ya chama, wananchi wanamwamini vipi?
Hata Zanzibar Dr. Shein hakupingwa mwaka 2015 alichukua fomu pekee.
Mengine ni uzushi tu na wivu wa kike.
Ila natamani@ sky ekilati angejaribu bahati yake. Siyo analalama tu hapa.Hii sio CCM pekee hata nchi mnzoita zimeendelea na ulimwengu wa kwanza wana utamamduni huo, kipindi G. Bush, Clinton, Obama wanagombea awamu ya pili wakiwa madarakani hawakupingwa ndani ya chama. Hata kichaa Trump safari hii hajapingwa kwani tayar ni mgombea pekee wa republican. Wakat Democrat wakiwa kwenye maoni wao wanamgombea wao.
Hii ina maana gani, ni kuwa kama ninyi mnampinga ndani ya chama, wananchi wanamwamini vipi?
Hata Zanzibar Dr. Shein hakupingwa mwaka 2015 alichukua fomu pekee.
Mengine ni uzushi tu na wivu wa kike.
Kwa kuwa ni kinyume cha utamaduni wa CCM na unataka kumdhoofisha mgombea wao. Lazima ufukuzwe kwa utovu wa utamamduniUnaweza ukawa sawa, lkn USA hakuna kitisho cha kuchukua fomu. Unaweza ukachukua usiungwe mkono, Jaribu hapa uone kama hukufukuzwa uanachama kama membe!
Inategemea na uelewa wako wa hilo neno na jinsi unavyolitumia. Anaweza pia kuwa kichaa wakoTrump ni kichaa!?
demokrasi does not dictate that? unamdhoofisha kwa vipi while this is internal uchaguzi? mnadhoofdhana ndani kwa ndani haina shidaKwa kuwa ni kinyume cha utamaduni wa CCM na unataka kumdhoofisha mgombea wao. Lazima ufukuzwe kwa utovu wa utamamduni
Kwa akili yako na mtizamo wako, lakin wao ndio utaratibu wa ndani waliojiwekeademokrasi does not dictate that? unamdhoofisha kwa vipi while this is internal uchaguzi? mnadhoofdhana ndani kwa ndani haina shida
Kuna wamarekani wangapi walio fungwa, tekwa, pigwa risasi, potea, bambikiwa kesi, ........kwasababu ya kutofautiana na Trump?.Kuna binadamu humu wanamchukia mzee baba Kama nyoka!..
Wanataka demokrasia zile za marekani mpk wananchi wanaacha makalio wazi kumtukana rais wao!.. kuna yule mmama alimtumiaga trump mpk nywele za sehemu ya siri!!..
Kuna na mwengine aliuonyeshea dole msafara wa trump!.. muajili wake alimfukuza kazi sasa ingekuwa hapa bongo lingesemwa mpk Basi!!
Ambacho hawakioni ni hiki wewe unachukua fomu unaenda kushindana na mtu ambae amekaa kwenye hicho cheo kwa miaka 5 na kuna mambo mengi tu kayafanya!.. Mi nachojua chama kinauwezo wa kumtoa mgombea yoyote yule wakitaka na wanaweza kumuweka yoyote pia!!
Vitu vyengine ni kuepusha jau tu..
Tanzania kuna upinzani na hiyo ndio kazi yao.. Kuna swali alishawahi kuhojiwa lisu kuwa mema gani rais alishawahi yafanya katafute alivyojibu hapo ndo utajua maana ya upinzani hawawezi kuona hata kitu kimoja hawawezi kabisa..
Na hapa yatakuja kuandika kachukue buku saba yako!😂
Wakati hata mlango wa kupigia kura siujui..!