Demokrasia ya CCM Bara katika picha

Demokrasia ya CCM Bara katika picha

Hatari sana, wanaogopa hata kuchukua form...kila mmoja anahofu kwa bahati mbaya akija kuukosa urais na Magufuli akapita basi atakiona.

Unajaribu kushindana na yesu?
Yesu wa kijani?
 
Propaganda za upinzani hazitafua dafu uhalisia kuwa kinachoendelea sasa ni utamaduni ambao kimantiki unafaa kuendelea kwani unakiweka chama na mgombea wake katika nafasi nzuri zaidi ya ushindi.
 
Back
Top Bottom