slikiwa ni mwaka wa pili sasa baada ya slaa kushindwa kuingia ikulu katika uchaguzi mkuu uliopita, mbinu mpya aliyokuja nayo ni kutoa matamko yanayowatia hofu wananchi juu ya hali ya usalama wa maisha yao na mali zao...hawezi kutoa tamko kuwambia watanzania jinsi walivyojipanga kutengeneza ajira kwa vijana na kuonyesha njia jinsi watakavyojenga uchumi bora.
magamba wamezoea kutoa sauti kwa niaba ya watanzania; Mhhh! Wewe Ritz umekuwa msemaji wa watanzania tangu lini?? Hayo ni mawazo yako binafsi. Mtanzania mwenye akili timamu hahitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa hii nchi inahitaji UKOMBOZI wa kweli.Wanabodi. Pamoja na CHADEMA kufanya ziara katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na kutangaza kauli mbiu ya M4C Watanzania wanahoji kwa nini CHADEMA hawasemi wana mipango gani yenye tija kwa taifa letu na watawakomboa vipi kama wanavyojinadi kuwa wao ni wakombozi? Moja ya kauli ya viongozi wa CHADEMA ni ile hakuna kulala mpaka kieleweke pamoja na ile tunataka kuwakomboa Watanzania, hawaelezi mambo yanayohusu maendeleo ya taifa lao. Watanzania wanataka CHADEMA wangekuwa wanawaeleza Watanzania ni kipi watafanya wao ambacho CCM kimeshidwa kuwafanyia, waseme ni barabara zipi ambazo watazijenga na waeleze vyanzo Vya fedha watakazotumia kujenga barabara hizo. Kwenye mikutano ya CHADEMA huwezi kusikia wanaelezea Watanzania kuwa watawajengea hospital au watafanyaje katika kuboresha elimu hiki ndio kipindi cha kuwafafanulia Watanzania juu ya utekelezaji wa sera yao waliyosema wakati wa kampeni 2010 kuwa CHADEMA watatoa elimu bure chekechea hadi chuo kikuu kwa fedha kutoka wapi na kwa uchumi upi wa nchi. Wananchi wanasema wanaofika kwenye mikutano ya CHADEMA wanachokisikia kutoka kwa viongozi wa CHADEMAa kauli mbiu zao 'Mpaka kielekewe hakuna kulala' 'Ukombozi unakaribia' Wao wana pesa siye tu Mungu' Nchi haiwezi kuongozwa mithiri ya kampuni ya biashara au familia ya watu wa damu moja.
​@ritz, Kimbunga
1.Kujenga nchi isiyo na ufisadi
2.Kufufua Tanganyika ili irejee mezani kujadili muungano na Zanzibar
3.Kufufua uchumi wa nchi kwa kutumia rasilimali zilizopo
4.Kukata asilimia 20 ya mshahara wa rais
5.Kupunguza mishahara ya wabunge kwa asilimia 15
6. Kuweka Mwenge wa Uhuru Jumba la Makumbusho
7. Kutoa huduma bora za afya bure
8. kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi
9. Kuwalipa wazee wa EAC fedha zao ndani ya siku 100
10. Kubana matuzi Ikula (Yuko tayari kula mihogo)
Jamani mimi sioni tatizo. kweli hawa CDM kwa upande wanafanya vizuri lakini si mara zote.
Hili la kueleza mipango mikakati nikweli lazima kwenye mikutano yao waeleze.
Mimi ningeshauri kama kweli ni wakombozi wachukue japo kijiji kimoja tu hapa tanzania kiwe cha mfano.
Watoe maendeleo tuone. Kunawabinge wapo wa chadema je wamefanya nn kwenye majimbo yao?
Mimi sipendi kuongea ongea tu nataka vitendo kama unasema wewe una MUNGU nani hapa Duniani asie na MUNGU. acheni bwana kutetea ubovu hawa chadema hata ukiwapa nchi wataboronga sana tena zaidi ya CCM. Tambua kua CCM nichama kilichokomaa. Chadema bado wachanga.
Hakuna ubishi Chadema kama jina lake lilivyo ni chama cha Demokrasia kimefanikiwa kueneza Demokrasia kwa kutumia mikakati iliyozaa matunda kama Operation Sangara, M4C, mikutano, midahalo kwa ushiriki wa makada wake kikamilifu kueneza chama na kuwasemea wananchi.
Ni wakati muafaka kwa chama kama jina lake lilivyo kujihusisha au kuwa mstari wa mbele kwa shughuli za kuwaletea maendeleo, "Chama cha Demokrasia na MAENDELEO.
Utasema hakijashika dola kwani mtu binafsi anaendelea kwa kushika dola si zaidi sana taasisi kuleta maendeleo.
Wafanye yafuatayo kuleta maendeleo:->
1. Wabunge watumie mfuko wa jimbo kuwapatia wananchi maendeleo katika majimbo yao isisike matumizi kama ya fedha za serikali za maendeleo kuliwa.
Watambue kero za kila mtaa, kata, tarafa na kuona ni kwa jinsi gani mfuko huo unaweza kuwakutanisha wananchi na wadau wa maendeleo kufanya hata harambee ya kuchangia maendeleo kwenye mtaa, kata zenye kero.
2. Mikutano na viongozi wa mitaa na kata wa chadema kufanya serikali imeshindwa makufanya
Taabu kweli kweli yaani wewe hili jambo la kuangalia mfumo wa uchaguzi ndani ya chama si la msingi?Tafadhali tunapojadili mambo serious kama haya weka uanzi pembeni,jadili kilichopo na kama hakikuhusu kaa pembenisijawahi kukutana na kitu cha maana kutoka kwenye postings za TUNTEMEKE toka niwe mwana chama wa jf. kwanza unaharibu jina la babaangu mkubwa kwani yeye hajawahi kutumika so cheaply like that. He was a true Great thinker and never let us down in any way.R.IP in peace Tuntemenke originanal.