Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Jamani mimi sioni tatizo. kweli hawa CDM kwa upande wanafanya vizuri lakini si mara zote.
Hili la kueleza mipango mikakati nikweli lazima kwenye mikutano yao waeleze.

Mimi ningeshauri kama kweli ni wakombozi wachukue japo kijiji kimoja tu hapa tanzania kiwe cha mfano.
Watoe maendeleo tuone. Kunawabinge wapo wa chadema je wamefanya nn kwenye majimbo yao?

Mimi sipendi kuongea ongea tu nataka vitendo kama unasema wewe una MUNGU nani hapa Duniani asie na MUNGU. acheni bwana kutetea ubovu hawa chadema hata ukiwapa nchi wataboronga sana tena zaidi ya CCM. Tambua kua CCM nichama kilichokomaa. Chadema bado wachanga.

Kaka umesahau bamia likikomaa sana sokoni aligusi unajambamaputo tu.
 
Hii nchi ya CCM na itabaki kuwa ya CCM, nyie mko kuturahisishia kupata hela za wazungu tu.
Matokeo ya uchaguzi wa 2015 yanajulikana,sasa wala usisumbuke kupanga mstari kupiga kura

sawa mkuu. hata abdullahi wade alikuwa na mawazo kama yako.
 
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="width: 2, bgcolor: #fe0000"][/TD]

[TD="colspan: 3"]

[TD="align: center"]
Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli​
Waziri Mkuu na TAMISEMI
Freeman Aikaeli Mbowe
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Silinde David Ernest
TAMISEMI
Sera, Uratibu na Bunge
Raya Ibahim Khamis
Vicent Kiboko Nyerere
Elimu
Uwekezaji na Uwezeshaji
Esther N. Matiko
Utawala Bora
Said Amour Arfi
Mahusiano na Uratibu
Rev. Israel Y. Natse
Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Suzan A. Lyimo
Muungano
Pauline P. Gekul
Mazingira
Grace S. Kiwelu
Kabwe Zuberi Zitto
Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Christina Lissu Mughwai
Godbless Lema
Tundu Lissu
Mnadhimu Mkuu wa Upinzani
Ezekia D. Wenje
Joseph Selasini
Silvester M. Kasulumbayi
Prof. Kulikoyela Kahigi
Halima James Mdee
Rev. Peter Msigwa
John John Mnyika
Eng. Salvatory Machemuli
Mhonga Saidi Ruhwanya
Lucy F. Owenya
Christowaja Mtinda
Dr. Mbasa Gervas
Regia Mtema
Naomi A. Kaihula
Joseph O. Mbilinyi
Mustapha Akunaay
Opulukwa Meshack
Highness S. Kiwia

[TD="class: hotuba, bgcolor: #000000"]
OFISI/WIZARA​
[/TD]
[TD="class: hotuba"]
WAZIRI KIVULI​
[/TD]
[TD="class: hotuba"]
NAIBU WAZIRI KIVULI​
[/TD]

[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Waziri Mkuu[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Rais[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Makamu wa Rais[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Fedha[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Katiba na Sheria[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maliasili na Utalii[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Nishati na Madini[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ujenzi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Uchukuzi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Viwanda na Biashara[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Kazi na Ajira[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Habari, Vijana na Michezo[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maji[/TD]
[/TD]
[/TD]

Hawa ni Mawaziri Kivuli huu ni mfano sasa hili Baraza ni dogo?
Ritz,
Hujasema kitu hapo. Baraza kivuli ni reaction kwa baraza lilipo serikalini hivi sasa. Kikwete angekuwa na mawaziri wachache wapinzani wasingekuwa na haja ya kuwa na baraza kubwa la kivuli.
 
Na mimi nadhani kama kuna mpango mkubwa wa kuleta maendeleo katika nchi hii kwanza ni kuhakikisha ccm imeondolewa madarakani. Maana ccm imekuwa kikwazo cha maendeleo yetu.
 
Usisikie kwa watu wengine Njoo uhudhurie mikutano ya CHADEMA uvuliwe GAMBA lako,
 
mgamba bana,hawana jipya kabisa,kama wew hujui ndio unasema watanzania hawajui??
Nyambaaf..
Masaburi yako wew..
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Slaa alisema kila mwananchi atajengewa nyuma na kuwekewa bati na kutakuwa hakuna tena nyumba za tembe na bei ya Saruji mfuko mmoja utauzwa Sh5000...kipindi hiki Chadema ndio wanatakiwa kuwafahamisha Watanzania watatumia mbinu gani kuwajengea Watanzania nyumba na mfuko wa Saruji kuuzwa Sh5000.
 
Hizo wizara zimeundwa kureflect baraza la serekali iliyopo kwa mtazamo wangu.
 
Ikiwa ni mwaka wa pili sasa baada ya Slaa kushindwa kuingia Ikulu katika uchaguzi mkuu uliopita, mbinu mpya aliyokuja nayo ni kutoa matamko yanayowatia hofu wananchi juu ya hali ya usalama wa maisha yao na mali zao...hawezi kutoa tamko kuwambia Watanzania jinsi walivyojipanga kutengeneza ajira kwa vijana na kuonyesha njia jinsi watakavyojenga uchumi bora.
Unaweza kunitajia tamko moja tu ambapo Slaa amewati hofu wananchi juu ya usalama wa maisha yao? Kupanda kwa gharama za maisha si kweli, ukilinganisha bei ya sukari wakati Mkapa anaondoka mamlakani na sasa wakati wa Kikwete? Kusema kweli kwako ni kuwatia watu hofu? Akitoa tamko leo kuhusu walivyojipanga kuunda ajira za vijana CCM wataziiba sera hizo. Umesahau sera ya katiba? Mtu wa ajabu kweli kweli. Na for your information, Slaa hakushindwa kuingia Ikulu. Usalama wa taifa ulimsaidia Kikwete kuiba kura. Let us be clear on that.
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Slaa alisema kila mwananchi atajengewa nyuma na kuwekewa bati na kutakuwa hakuna tena nyumba za tembe na bei ya Saruji mfuko mmoja utauzwa Sh5000...kipindi hiki Chadema ndio wanatakiwa kuwafahamisha Watanzania watatumia mbinu gani kuwajengea Watanzania nyumba na mfuko wa Saruji kuuzwa Sh5000.
Mwalimu Nyerere alipofika Dar-es-Salaam, nyumba nyingi za wananchi wakati huo zilikuwa za makuti hasa pala Kariakoo.
Baada ya uhuru Mwalimu alianzisha National Housing na kweli alijitahidi kubadilisha sura ya nyumba DSar-es-Salaam. Imewezekana before, itawezekana tena. Kinachohitajika ni sera na kupania (determination)
 
Acha kukurupuka ritz CHADEMA sera zake zinaeleweka kwa wananchi

1.Kuhusu katiba mpya ni sera ya CHADEMA kwa hiyo CCM mnatekeleza sera ya CHADEMA.

2.Mpaka sasa sera za CHADEMA ndiyo zinaongoza nchi isipokuwa CCM imeshindwa kuzitekeleza kwa sababu hawana uwezo wa kuziishi

Ninachokiona wewe umepoteza network nadhani bado unatafuta posho.

1) Sera mpya si sera ya chadema huu ni upotoshaji, unaijuwa tume ya Nyalali iliwekwa kufanya kazi gani? siku hizo naona hata Mwenyekiti wa sasa wa chadema alikuwa hajaachiwa kiti na mkwewe.

2) Sera zipi za chadema zinazoongoza nchi? usitake kuzuwa.
 
Ikiwa ni mwaka wa pili sasa baada ya Slaa kushindwa kuingia Ikulu katika uchaguzi mkuu uliopita, mbinu mpya aliyokuja nayo ni kutoa matamko yanayowatia hofu wananchi juu ya hali ya usalama wa maisha yao na mali zao...hawezi kutoa tamko kuwambia Watanzania jinsi walivyojipanga kutengeneza ajira kwa vijana na kuonyesha njia jinsi watakavyojenga uchumi bora.

Janja ya nyani kwisha jua, unataka waweke wazi kila aina ya mikakati yao ili muibe? Hatusemi ng'o subirini kampeni 2015
 
tupewe nchi na nani?

nchi ina wenyewe hii, wenyewe ni sisi watanzania, na ni sisi watanzania ndo tumeamua kufanya mabadiliko. mmetunyonya sana bana. inatosha.

Wabunge 23 kwa zaidi ya 250. Mabadiliko hayo!
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Slaa alisema kila mwananchi atajengewa nyuma na kuwekewa bati na kutakuwa hakuna tena nyumba za tembe na bei ya Saruji mfuko mmoja utauzwa Sh5000...kipindi hiki Chadema ndio wanatakiwa kuwafahamisha Watanzania watatumia mbinu gani kuwajengea Watanzania nyumba na mfuko wa Saruji kuuzwa Sh5000.

Ngoja utekerezaji kuanzia 2015 kwasasa hakuna kumwaga mtama kwenye kundi la ngurue
 
Vipi ile Sangara 2008 ilikuwa na makosa gani? maana naona katika kupima kwenu mmeona kuwa mlikosea kuanza, ile mlianza miaka 2 kabla ya uchaguzi hii mnaanza mitatu. Duh. Wavivu wa kufikiri. Hivi mmeona mkianza mapema ndio mtawapata wengi?

CCM ina wawekea kiboko yenu. Mnamjuwa ni nani, na yeye kaanza taratibu bila ya kuingiliwa na chama, ikifika wakati, ana backup zote. Hapo sasa.
 
Unaweza kunitajia tamko moja tu ambapo Slaa amewati hofu wananchi juu ya usalama wa maisha yao? Kupanda kwa gharama za maisha si kweli, ukilinganisha bei ya sukari wakati Mkapa anaondoka mamlakani na sasa wakati wa Kikwete? Kusema kweli kwako ni kuwatia watu hofu? Akitoa tamko leo kuhusu walivyojipanga kuunda ajira za vijana CCM wataziiba sera hizo. Umesahau sera ya katiba? Mtu wa ajabu kweli kweli. Na for your information, Slaa hakushindwa kuingia Ikulu. Usalama wa taifa ulimsaidia Kikwete kuiba kura. Let us be clear on that.

Kama unakumbuka tamko la Slaa kule Arusha, alisema Chadema watafanya nchi isitawalike...alimaanisha kuleta vurugu na machafuko, kauli kama hiyo sio kuwapa hofu Wananchi.
 
Mwalimu Nyerere alipofika Dar-es-Salaam, nyumba nyingi za wananchi wakati huo zilikuwa za makuti hasa pala Kariakoo.
Baada ya uhuru Mwalimu alianzisha National Housing na kweli alijitahidi kubadilisha sura ya nyumba DSar-es-Salaam. Imewezekana before, itawezekana tena. Kinachohitajika ni sera na kupania (determination)

Jasusi.
Mpango wa Nyerere wa kipindi kile tofauti na sera za Chadema mkuu, unachotaka kufanya wewe ni kumsemea Slaa, ebu tuambie mbinu gani watatumia Chadema mpaka mfuko wa Saruji Wananchi tununue Sh5000.
 
Back
Top Bottom