Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Mawazo yako mazuri naona turudi kqenye uchifu na ufalme... Tena kwa kipindi hiki tuna speed nzuri ya kuelekea huko
 
China wako 1.4 B masikini wa kutupwa 27% ..alafu kuna mtu anasema ongezeni kuzaa
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).

Basi tusiwe na siasa jeshi linatosha😂
 
80% ya Watanzania walipenda kuwepo na Chama kimoja cha siasa! Lakini Madikiteta yakawaletea vyama vingi!!!!!!
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Ahalan wasahlan wa Marhabaa

Wanagenzi

Kaka hongera sana kwa kuleta bandiko very positive kwa wenye kuelewa uzalendo ni nini?

Japo uliloligusia LITAKUA na tija pale mtakapopata kiongozi mwadilifu na anayeitakia nchi mema, Mf. Thomas Sakara (mwanamapinduzi wa KIUCHUMI), Muamar Gadaf (mwanamapinduzi ya KIUCHUMI) na pia ipo mifano mibaya pia ambayo ni tishio mtu kama General Bokassa na Dr. Kamuzu Banda and the like.

Iwapo tutamudu kutofautisha mahitaji ya demokrasia katika NYAKATI za tawala nzuri na mbaya tutaishia kulumbana juu ya demokrasia tlisiyotufaa na kuacha Ile inayotufaa.

KUMUUA MTU KAMA TAFFAR MAKONEN - HAILLE SELASSIE WA ETHIOPIA kunathibitisha namna gani bado tunafeli kutofautisha demokrasia na maendeleo na utawala na uongozi.

China hawana Demikrasia
Lakini wamejikita katika uchumi wa nchi "by any means necessary" iwe Ni kukunyonga hadharani ili wachina na China ipate somo juu ya kuigomea Jamhuri maana yake ni KIFO.

AHSANTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachanganya demokrasia na dhana ya ushirikishwaji Wa maendeleo.Si kwamba China hawana demokrasia wanayo demokrasia yenye mipaka kulingana na matakwa yao.China hakuna one man show China kuna chama kimoja ambacho maamuzi ya wanachama ndio msingi Wa maendeleo yao ,chama kina nguvu kuliko Mwenyekiti au mtawala tofauti na Africa Mwenyekiti au rais ana nguvu kuliko chama maagizo yake yawe mabovu au mema atakalo ndio huwa agusiki ahojiki ni one man show maamuzi yake ndio maamuzi ya nchi.Vipaumbele vyake ndivo vipaumbele vya nchi.Mtoa mada atuthibitishie ni maendeleo gani Africa imepata takribani miaka 60 ya bila demokrasia baada ya uhuru,kama demokrasia ni kikwazo mbona tungali fukara hata uwezo Wa kujenga vyoo vya shule hatuwezi ndani ya miaka hii 60 bila demokrasia Africa,maana hizi mambo za demokrasia Africa hazina hata miaka 15 Africa.Ingekuwa kukaa mda mrefu madarakani ndio maendeleo tungeona watawala waliokaa miongo madarakani nchi zao zikipaa kimaendeleo lkn nchi zote zilizotawaliwa kidikteta zote ni fukara.Soma historia hakuna dikteta yeyeto keshawahi leta maendeleo huwezi leta maendeleo kwa kuwachukia matajiri na wasomi madikteta wote uwachukia matajiri ,wasomi na watu waliofanikiwa maana kundi hili angalau lina mwanga kuliko kundi la fukara na wanyonge madikteta wote lzm wawe waongo ( propaganda) sasa matajiri na wasomi wanaouelewa na wanajua hapa tumepigwa kamba hayo ni maneno ya majukwaani tu ili kudaka akili za kundi la wajinga sasa msomi akikosoa kuifumbua macho jamii uzawadiwa risasi,kubambikwa kesi za uhujumu uchumi,uraia,kodi nk tumeona ya Katumbi na kabila,kina Victorie ngabire vs pk,bobwine vs M7,Robert ouko,kensarowiwa,TL nk.Madikteta wote duniani ofisi zao ziko frontpage kwenye media yaani ni wauza sura kwenye media jambo moja utangazwa Mara elfu moja na yote huwa na maendeleo ya vitu na sio watu.
Hakuna maendeleo pasipo demokrasia hata nchi zote zilizoendelea ziloruhusu demokrasia itawale kwenye maendeleo na sio one man show ( dictatorism and propagandism).
 
Back
Top Bottom