Ahalan wasahlan wa Marhabaa
Wanagenzi
Kaka hongera sana kwa kuleta bandiko very positive kwa wenye kuelewa uzalendo ni nini?
Japo uliloligusia LITAKUA na tija pale mtakapopata kiongozi mwadilifu na anayeitakia nchi mema, Mf. Thomas Sakara (mwanamapinduzi wa KIUCHUMI), Muamar Gadaf (mwanamapinduzi ya KIUCHUMI) na pia ipo mifano mibaya pia ambayo ni tishio mtu kama General Bokassa na Dr. Kamuzu Banda and the like.
Iwapo tutamudu kutofautisha mahitaji ya demokrasia katika NYAKATI za tawala nzuri na mbaya tutaishia kulumbana juu ya demokrasia tlisiyotufaa na kuacha Ile inayotufaa.
KUMUUA MTU KAMA TAFFAR MAKONEN - HAILLE SELASSIE WA ETHIOPIA kunathibitisha namna gani bado tunafeli kutofautisha demokrasia na maendeleo na utawala na uongozi.
China hawana Demikrasia
Lakini wamejikita katika uchumi wa nchi "by any means necessary" iwe Ni kukunyonga hadharani ili wachina na China ipate somo juu ya kuigomea Jamhuri maana yake ni KIFO.
AHSANTE
Sent using
Jamii Forums mobile app