Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).

Kwa nini tusifute vyama vyote vya siasa ikiwemo CVlCM ambayo ndiyo imedukaza maendeleo nchini kwetu? Tusiimee Afrika nzima tuanzie hapa.

Vyama vya upinzani havijawahi kushika dola, vinalaumiwa vipi kwa udumavu wowote hapa nchini?

Yaani unalinganisha Tanzania na US kidemokrasia? Huoni jinsi demokrasia ya US ilipowafikisha na ya kwetu chini ya chama kimoja ilipotudumazia?

Leta Facts siyo ushabiki.
 
Wenzetu wako kwenye cobra meeting kuhusu coronavirus
Sisi tunasubiri kwanza

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tu
Kwa nini tusifute vyama vyote vya siasa ikiwemo CVlCM ambayo ndiyo imedukaza maendeleo nchini kwetu? Tusiimee Afrika nzima tuanzie hapa.

Vyama vya upinzani havijawahi kushika dola, vinalaumiwa vipi kwa udumavu wowote hapa nchini?

Yaani unalinganisha Tanzania na US kidemokrasia? Huoni jinsi demokrasia ya US ilipowafikisha na ya kwetu chini ya chama kimoja ilipotudumazia?

Leta Facts siyo ushabiki.
Turudi kwenye utawala wa kichifu Nakabila yenye nguvu au wote kwa ujumla wao wamteue mmoja atawale. Biashara iishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruzuku zimepelekwe kwenye huduma za jamii. Kuliko kwenda kunufaisha watu wachache pale Kinondoni
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Tatizo siyo Demokrasia tatizo ni sisi waafrika wenyewe. Kwani budget ya uchaguzi unadhani inalingana na pesa inayoishia mifukoni mwa viongozi?
Hata ukiondoa uchaguzi bado pesa inapigwa tu mbona kuna nchi Afria hazina Demokrasia viongozi wako madarakan kwa zaidi ya miaka 20 na bado maskini tu
 
Tuambie kwanza maana ya 'demokrasia'. Hao wanaokuongezea 50% kwenye bajeti ili ikamilike ndio wanataka utaratibu wa demokrasia.
Kinachochanganya Tanzania tuna Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia makini vyote hivyo Mwenyekiti haguswi na akiguswa utaitwa ni msaliti.
 
Aisee hili jambo linafikirisha sana. Ndo maana mzee wetu kaamua kurejea nyumbani baada ya kuona hakuna demokrasia inayohubiriwa Twita
 
Kinachochanganya Tanzania tuna Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia makini vyote hivyo Mwenyekiti haguswi na akiguswa utaitwa ni msaliti.
Kule UK yule mama wa Lib Dem alitoswa na wapiga kura kwa kutika kufuta mpango wa UK kujitoa EU akiwa kama msaliti. Sasa Bongo ni kinyume, hii ni kali.
 
Tuambie kwanza maana ya 'demokrasia'. Hao wanaokuongezea 50% kwenye bajeti ili ikamilike ndio wanataka utaratibu wa demokrasia.
Hiyo au hicho kitu wanachodai ndiyo demokrasia hakipo China wala Saudia, na hao hao wanaodai huko kwingine hakuna au demokrasi inakiukwa wanawaogopa, jiulize maswali hayo kisha jitafakari.
 
Kumbe wewe tatizo lako ni kuwa huelewi maana halisi ya neno demokrasia. Inaonekana umekaririshwa tu kuwa demokrasia ni haki ya watu kujipanga na kuchagua madiwani, wabunge na rais.

You don't know what does the word democracy connote. Your knowledge, it seems, is limited to the familiar definition of the word in your dictator's perspective. You're very ignorant.
fanya kazi, acha porojo
 
Once upon a time, some African countries were ruled by stupid rulers. Think of Idd Amin Dada in Uganda, Mobutu Seseseko in Congo, Jacob Xuma in South Africa, (a very corrupt person) Mwai Kibaki in Kenya, a man who allowed his wife to be his state spokeperson... only few to mention. Without a systematic spaced succession in power (democracy) citizens in those countries could suffer endlessly. Democracy relieves people from stupidity of their leader.
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Kumbe wenye akili bado tupo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom