Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Democrasia imezuia vipi upatikanaji wa maji, elimu na hizo barabara mpaka sasa.
 
Mawazo ya kimasikini. Ukifuta uchaguzi je serikali ikiamua kula pesa zote na viongozi kujitajirisha itakuwaje. Hakuna ushahidi pesa za uchaguzi zitaenda kwenye maendeleo unajuaje😂. Angalieni mifano ya nchi nyingine za kidikteta halafu tuongeshe hayo maendeleo. Vilevile maendeleo hayaletwi na serikali pekee na watu pia
 
Ufipa mmepanik
 
Ufipa mmepanik
Inanishangaza sana kuona vijana wa siku hizi wana upeo mdogo sana sijui Tanzania ilikosea wapi. Sasa vijana chini ya umri wa miaka 25 ni 67% hili ndilo janga kuliko chochote. Je vijana wetu wanafanya nini?
 
Brother why don't you shut up and sleep kama una stress zako usijaribu kutupa nasisi.... The first thing is kwanza umejidharau kuona rangi yako haifai na unajaribu kuembrace udikteta, democracy is what made America where it is today, the only thing ambayo unaita demokrasia kwetu haipo na wala haijakuwepo... Ukiona chama pinzani kinashinda uchaguzi (mfano Zanzibar) the next day una unull matokeo demokrasia hakuna, ukiona mwenyekiti wa tume anachaguliwa na kiongozi anaetawala definitely hakuna demokrasia.
Wapinzani Africa hajitambui kwakuwa wanatumiwa na vyama tawala kujificha nyuma ya mgongo wa demokrasia ili nchi iendelee kupata misaada but na ushenzi wote wanafanya watawala hawawezi kuvifuta coz wanavihitaji zaidi kuonekana huko magharibi wanademokrasia
Kwa taifa la American Maendeleo hayakuletwa na Democracy hii tunayoifikiria bali kwa kufanya kazi.
 
Si umeona nkikuambia ubongo wako una mavi unakua mkali sasa chunguza tu maneno yko kwa kina utagundua unatumia kinyesi kufikiri na co ubongo tena.
Vitu unavyoviandika havielewek au unavielewa mwenyew, hakika unapswa kuwa ile hospital ya makao makuu ya nchi wewe.
Leo hii mapato yameongezeka maradufu bado hamuoni tu
 
Haki za binadamu dhidi ya nani?

Haki za Binadamu hazina dhidi!

Ni Bill of Rights kila mwanadamu azitambue na kuzifuata hazina dhidi!

Ni Universal Declaration!

Sasa hayo maswali ya kijinga kamuukize Jiwe asiejua maana ya haki za binadamu kama alivyo yeye na wanae!
 
Back
Top Bottom